Nyie mmeokota sarafu ya shilling kumi tena iliyo chakavu, ambayo haina tena thamani kama hapo awali japo bado inaweza ikatumika kwa baadhi ya bidhaakwahiyo kama umeokota dhahabu sisi tumeokota nini
usitushushe hadhi kiasi hicho
Wrong perceptionSababu anaanzia kwako badae anaanza kujaribu ladha zingine ...
imekuwa nikisikia habari nyingi kuhusu bikra lakini sikuziamini kivilee, nilijua mwanamke ni mwanamke haijalishi ukimkuta bikra au vipi ili mradi ana maumbile ya kike basi hakuna kinachoharibika. miezi kadhaa iliyopita nimebahatika kumpta mwanamke ambae ni bikra ambae nilikuwa namuwinda kwa muda mrefu sana sema ndo hivyo kila kitu kinawakati wake. hakuna kitu kizuri kwenye mahusiano ya kimapenzi kama kuwa na mwanamke ambae umemtoa mwenyewe bikra na kumfundisha mapenzi mwenyewe. kusema ukweli mi si mtulivu kwenye mahusiano lakini toka nikutane na huyu amenibadilisha sana maisha yangu ya kimahusiano, nahisi kitu ambacho sijawahi kuhisi maishani mwangu, kaimani ffulani moyoni na mwepesi ajabu. sijawahi kupenda hapomwanzo kama navopenda sasa. kwa ufupi nahisi raha na amani ya hali ya juu ambayo sijawahi kuipata mwanzoni. sasa nimeamua kutulia kabisa na kuachana na manungayembe ya mjini yanayotembeza k kila kukicha. nimepata wangu halisi miezi michache ijayo natarajia kuitwa baba. najiona mwenye bahati kumpata mwanamke bikra, anajua thamani yake, anajua nini maana ya maisha, ana heshima na anajua yeye ni nani. mwanamke bikra mtam. nimeokota dhahabu nashukuru Mungu kwa hil
aiseNyie mmeokota sarafu ya shilling kumi tena iliyo chakavu, ambayo haina tena thamani kama hapo awali japo bado inaweza ikatumika kwa baadhi ya bidhaa
Au ameamua kujitunza.Au ni mpenzi wa njiapanda
Au ni msagaji
Au ni mgonjwa/mlemavu
Au ana roho mbaya sana
Kweli ila ndiyo hivyoWrong perception
While it is good for u, take note;nimeokota dhahabu nashukuru Mungu kwa hili
Unataka kukimbia au speed yakukimbia inaongezeka...lolMwanamke akishaniambia yeye ni bikra naanza kumuogopa hapo hapo
Umesha muoa au unaanza na mtoto kwanza ndoa baadae? kama bado basi harakisha wasije kukuibia ukaanza kulia na mito kitandani...Nimekuwa nikisikia habari nyingi kuhusu bikra lakini sikuziamini kivilee, nilijua mwanamke ni mwanamke haijalishi ukimkuta bikra au vipi ili mradi ana maumbile ya kike basi hakuna kinachoharibika.
Miezi kadhaa iliyopita nimebahatika kumpata mwanamke ambae ni bikra ambae nilikuwa namuwinda kwa muda mrefu sana sema ndo hivyo kila kitu kinawakati wake. Hakuna kitu kizuri kwenye mahusiano ya kimapenzi kama kuwa na mwanamke ambae umemtoa mwenyewe bikra na kumfundisha mapenzi mwenyewe.
Kusema ukweli mi si mtulivu kwenye mahusiano lakini toka nikutane na huyu amenibadilisha sana maisha yangu ya kimahusiano, nahisi kitu ambacho sijawahi kuhisi maishani mwangu, kaimani ffulani moyoni na mwepesi ajabu. sijawahi kupenda hapo mwanzo kama navyopenda sasa.
Kwa ufupi nahisi raha na amani ya hali ya juu ambayo sijawahi kuipata mwanzoni. Sasa nimeamua kutulia kabisa na kuachana na binti wa mjini wanaotembeza k kila kukicha.
Nimepata wangu halisi miezi michache ijayo natarajia kuitwa baba najiona mwenye bahati kumpata mwanamke bikra, anajua thamani yake, anajua nini maana ya maisha, ana heshima na anajua yeye ni nani mwanamke bikra mtamu. nimeokota dhahabu nashukuru Mungu kwa hili.
Sasa nguvu ya bikra iko wapi hapo mbona title haiendani na maelezo, au ni jinsi ya kujuza wana Jamvi kuwa umemmwaga mtu damu?
Nikajà speed nikadhani tayari mbooo imenasaSasa nguvu ya bikra iko wapi hapo mbona title haiendani na maelezo, au ni jinsi ya kujuza wana Jamvi kuwa umemmwaga mtu damu?
Eti miss chagga wee ni mtembeza K?Khee makubwa kwa hiyo wametutoa mwanaume wenzio halafu mnatuambia tunatembeza k.. Haya bwana hongera kupata bikra hata sisi tulianza na moja na sasa ni kumi
Labda aisee sababu nikiangalia ex niliyonao labda... Ila sikupendaEti miss chagga wee ni mtembeza K?
Kawaida tu mkuu. Mdau inawezekana kawakejeli ndugu zake wa kike bila kujuaLabda aisee sababu nikiangalia ex niliyonao labda... Ila sikupenda
Ndiyo maana yake nao wanazitembeza huko na wanaweza wasipate wakiziweka ndani .. Maisha haya kama kamari vileKawaida tu mkuu. Mdau inawezekana kawakejeli ndugu zake wa kike bila kujua