Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,119
- 829,006
Yeah kama sio mchoyo sana basi ana tatizo la sivyo atakuwa ananiongopeahaaa haaaa yaani nimechekaa khaaa
Yeah kama sio mchoyo sana basi ana tatizo la sivyo atakuwa ananiongopeahaaa haaaa yaani nimechekaa khaaa
Siyo kwamba unampenda... sema mimba imekusukuma kumuonea huruma..
Alisahau kum cc.Cc: mahondaw
ahahahaha nimechekaNimekuwa nikisikia habari nyingi kuhusu bikra lakini sikuziamini kivilee, nilijua mwanamke ni mwanamke haijalishi ukimkuta bikra au vipi ili mradi ana maumbile ya kike basi hakuna kinachoharibika.
Miezi kadhaa iliyopita nimebahatika kumpata mwanamke ambae ni bikra ambae nilikuwa namuwinda kwa muda mrefu sana sema ndo hivyo kila kitu kinawakati wake. Hakuna kitu kizuri kwenye mahusiano ya kimapenzi kama kuwa na mwanamke ambae umemtoa mwenyewe bikra na kumfundisha mapenzi mwenyewe.
Kusema ukweli mi si mtulivu kwenye mahusiano lakini toka nikutane na huyu amenibadilisha sana maisha yangu ya kimahusiano, nahisi kitu ambacho sijawahi kuhisi maishani mwangu, kaimani ffulani moyoni na mwepesi ajabu. sijawahi kupenda hapo mwanzo kama navyopenda sasa.
Kwa ufupi nahisi raha na amani ya hali ya juu ambayo sijawahi kuipata mwanzoni. Sasa nimeamua kutulia kabisa na kuachana na binti wa mjini wanaotembeza k kila kukicha.
Nimepata wangu halisi miezi michache ijayo natarajia kuitwa baba najiona mwenye bahati kumpata mwanamke bikra, anajua thamani yake, anajua nini maana ya maisha, ana heshima na anajua yeye ni nani mwanamke bikra mtamu. nimeokota dhahabu nashukuru Mungu kwa hili.
Alisahau kum cc.
Cc: mahondaw
Umeokota jiwe
Mwenye Biashara ndo anajua faida na hasara ya biashara....Usiogope
Au ni mpenzi wa njiapanda
Au ni msagaji
Au ni mgonjwa/mlemavu
Au ana roho mbaya sana
Huwa sipendi yaani Hata kama ni anabadilisha wanaume kila sekunde ni njia aliyoichagua iheshimiwe ila nachukia mtu kumuita mwenzie nungaembe mara sijui nini haipendezi .... Ila Hongera
kwahiyo kama umeokota dhahabu sisi tumeokota nini
usitushushe hadhi kiasi hicho
Sasa nguvu ya bikra iko wapi hapo mbona title haiendani na maelezo, au ni jinsi ya kujuza wana Jamvi kuwa umemmwaga mtu damu?
njoo huku usome mwisho wa matatizo ya fumanizi Story: Fumanizi la ukubwaniHahahhahahahahhaha...
Haya mamanjoo huku usome mwisho wa matatizo ya fumanizi Story: Fumanizi la ukubwani
Mkuu bikira zipo ingawa si nyingi na nina hakika hata wanaume wakizikuta hawajui kama ndo zenyeweYeah kama sio mchoyo sana basi ana tatizo la sivyo atakuwa ananiongopea
Meona eee preeeeach Bro preeeeah. ..Mkuu bikira zipo ingawa si nyingi na nina hakika hata wanaume wakizikuta hawajui kama ndo zenyewe
AmenNi kweli bikra ina nguvu sana ndio maana Mungu kaiweka.
Ni heshima kwa mwanamke na ni agano kati ya huyo mwanamke na huyo mwanaume aliemtoa, ile damu inayomwagika usiichukulie poa.
hilo nalo nenoSema mkuu ujue siku hizi hata zakuchakua zipo ujue? Achana na kiumbe anayeitwa mwanamke. Smartest Mofos on earth
"Ishini na wake zenu kwa akili"... Mwenyewe alieviumba alitupa na onyo kabisa.Sema mkuu ujue siku hizi hata zakuchakua zipo ujue? Achana na kiumbe anayeitwa mwanamke. Smartest Mofos on earth