Dini hazina faida kwetu na ukizingatia tuliletewa tu ili kutupotosha. Angalia jinsi watu walivyo wajinga, utakuta mtu anajiua eti anatetea dini yake, seriously hivi mwenye akili timamu anaweza fanya hivi kweli? Unajiua kwa dini ya watu wengine waliokudanganya kuwa hii ndiyo dini yako, utashangaa wao wenyewe hawavai mabomu kujilipua ila wanawatumia wengine. Upunguani ni kitu kibaya sana.
Dini ni Imani, Najua umekariri kuwa dini ni hizo tulizoletewa hapana hata kabla ya kuja hizo unazosema "tuliletewa tu ili kutupotosha" tulikuwa na Dini zetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.