Nguvu kuu 7 alizonazo mwanamke

Zote zaweza kuwa sawa ila namba moja hapana. Mwanamke hana permanent Memory yaani husahau haraka ndiyo maana wapo wamezalishwa watoto saba kila mtoto na baba yake. Kama memory wanayo wasingedanganywa kwa mbwembwe zile zile za kila siku.
Ila ni viumbe wazuri Hakika Mungu apewe sifa kwa ujio wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mna nguvu kiasi hicho tusinge wachezea hovyo na kuwazalisha unakuta Mwanamke anazalishwa na jamaa hana mbele wala nyuma Je hiyo nguvu ya kuona mbali inafanyakazi hapo
 
Nguvu ya kudanganyika kirahisi haujaiweka hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…