MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,450
Zote zaweza kuwa sawa ila namba moja hapana. Mwanamke hana permanent Memory yaani husahau haraka ndiyo maana wapo wamezalishwa watoto saba kila mtoto na baba yake. Kama memory wanayo wasingedanganywa kwa mbwembwe zile zile za kila siku.Nguvu kuu 7 alizonazo mwanamke
1. Uwezo wa kuona na kugundua ya mbeleni (ana uweza wa kuona kisichosemwa au kitakachokuja). Anatumia mlango wa sita wa fahamu unaoitwa EPS
2. Ana nguvu ktk kinywa chake kuliko nguvu za mwili kwa mwanaume. Athari za kutotumia kinywa chake vema ni kubwa zaidi.
3. Nguvu na uwezo wa kuendeleza uumbaji
4. Nguvu ya ushawishi
5. Nguvu na uwezo wa kustahimili. Kuvumilia. Kubeba mazito.
6. Nguvu na uwezo wa kujadili bei (bargaining power)
7. Uwezo wa kuwaathiri watoto (positively or negatively)
ILI NGUVU HII ITENDE KAZI
1. Tumia vema kinywa chako
2. Tumia vema ushawishi wako
3. Jitambue
Ila ni viumbe wazuri Hakika Mungu apewe sifa kwa ujio wao.
Sent using Jamii Forums mobile app