Nguvu kuu 7 alizonazo mwanamke

Nguvu kuu 7 alizonazo mwanamke

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,618
Reaction score
9,607
Nguvu kuu 7 alizonazo mwanamke

1. Uwezo wa kuona na kugundua ya mbeleni (ana uweza wa kuona kisichosemwa au kitakachokuja). Anatumia mlango wa sita wa fahamu unaoitwa EPS

2. Ana nguvu ktk kinywa chake kuliko nguvu za mwili kwa mwanaume. Athari za kutotumia kinywa chake vema ni kubwa zaidi.

3. Nguvu na uwezo wa kuendeleza uumbaji
4. Nguvu ya ushawishi
5. Nguvu na uwezo wa kustahimili. Kuvumilia. Kubeba mazito.
6. Nguvu na uwezo wa kujadili bei (bargaining power)
7. Uwezo wa kuwaathiri watoto (positively or negatively)

ILI NGUVU HII ITENDE KAZI
1. Tumia vema kinywa chako
2. Tumia vema ushawishi wako
3. Jitambue
 
Wanakuja, bila shaka watasikia
 
Umesahau dawa ya kulevya kwa kizazi dume papuchi
 
yeah u hit the woman u hit the rocks,naweshimu na kuwapenda wanawake,ni wavumilivu wa mengi ,Mungu azidi kuwapa uwezo wa hili.
 
Namba 1 utata,kweli future yenu inaonekana kwa kutumia eps sasa mbona kila siku mnaingia mazima na vilio juu.

bichwa la kambale
 
Kuona mbali ?? Labda mimi huwa nakutana na wale wa Sayari ya mercury
 
Back
Top Bottom