Mambo mshanajr, nje kidogo ya mada...muda sasa umepita, siku moja nikagundua watu wangu niliowahi kuwa nao namba zao za simu lazima kuna namba moja ipo kwao wote, mfano tu yaani mfano: ww Mshana uliwahi kuwa na mahusiano na wadada 3 tofauti kwa wakati tofauti lakini ukiangalia namba zao simu mfano pia wa kwanza. 0755001001 wa pili 0784809925 wa tatu 0654 550348. Kwa hapa unaona namba sifuri imejirudia kwa watu wako, lakini pia hata wale unaojaribu kupoteza muda unajikuta pia kwenye namba zao za simu kuna namba 0 imo.
Kipi kimekuonyesha kama ni kaka au dada?Nitafafanua japo post ya kitambo kaka
Kuna kitu ndani yake hapo nitafafanua nikitulia niko kwenye task fulani ngoja niimalizeMambo mshanajr, nje kidogo ya mada...muda sasa umepita, siku moja nikagundua watu wangu niliowahi kuwa nao namba zao za simu lazima kuna namba moja ipo kwao wote, mfano tu yaani mfano: ww Mshana uliwahi kuwa na mahusiano na wadada 3 tofauti kwa wakati tofauti lakini ukiangalia namba zao simu mfano pia wa kwanza. 0755001001 wa pili 0784809925 wa tatu 0654 550348. Kwa hapa unaona namba sifuri imejirudia kwa watu wako, lakini pia hata wale unaojaribu kupoteza muda unajikuta pia kwenye namba zao za simu kuna namba 0 imo.
Swali langu je ni just a coincidence au kuna fumbo ndani yake ambalo linatakiwa kufumbuliwa!!?
Nini mtazamo wako?
All the bestKuna kitu ndani yake hapo nitafafanua nikitulia niko kwenye task fulani ngoja niimalize
Its becoz sense zingine zote action potential ikiondoka, inakuwa less active tu, masikio usikivu hupungua, ndo maana ukilala ngumu kusikia ,ngozi kuhisi mguso. So ziko na their own way ya ku shut input, macho lazima izue miale ya mwanga kupenya ili kuacha kutengeneza image na kumbuka image kutengenezwa lazima itafsriwe , bado kichwa kitakuwa kinafanya kazi.Agent wa kichwa ni pua,ulimi,macho,ngozi na maskio kwa kupitia hawa kichwa anapokea taarifa mbalimbali na ndipo hufanya maamuzi kutokana na taarifa..
lkn binafsi naona kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kichwa na macho..
kwanini wakati wa kulala macho hufumba..?
na kumtambua kama mtu ameamka mara nyingi mpk afumbue macho.
Kwangu mimi akili ni Macho.Agent wa kichwa ni pua,ulimi,macho,ngozi na maskio kwa kupitia hawa kichwa anapokea taarifa mbalimbali na ndipo hufanya maamuzi kutokana na taarifa..
lkn binafsi naona kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kichwa na macho..
kwanini wakati wa kulala macho hufumba..?
na kumtambua kama mtu ameamka mara nyingi mpk afumbue macho.
Fanya kama umekata mwili na umebakiza kichwa tu mbona bado hakiwezi kusavaivu![]()
hiyo ndio kila kitu aisee maana leo hii eddy mimi nikikatwa kichwa inabaki story tu kuwa nilikuwepo kichwa ndio kila kitu maana kuna fyuzi pia zipo humu kichwani zikifyatuka tuu mtu anaonekana mwendaazimu asiejielewa.
Jicho ni taa ya mwiliAgent wa kichwa ni pua,ulimi,macho,ngozi na maskio kwa kupitia hawa kichwa anapokea taarifa mbalimbali na ndipo hufanya maamuzi kutokana na taarifa..
lkn binafsi naona kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kichwa na macho..
kwanini wakati wa kulala macho hufumba..?
na kumtambua kama mtu ameamka mara nyingi mpk afumbue macho.
Kichwa kimebeba ubungo, na ubongo ni sehemu ya mwili. Kuna seli nyingi za ubongo na kila siku zinazalishwa. Pia ijulikane kuwa akili na ubongo ni vitu viwili tofaiti. Akili ni moja tu ambapo mtu anaweza kufanya jambo lolote katika hiyo akili, mfano, akachagua njia yake ya kukabili jambo fulani na kisha akaruhusu litengeneze seli katika ubongo wake na hapo sasa kupitia uti wa mgongo au mfumo wa mawasiliano mwilini, seli husika zitaingia kazini.Ni usiku mwingine tulivu tunapojiandaa kupumzisha miili yetu....lakini kabla hatujalala vichwa vyetu viko busy kuwaza mengi kupanga na hata kufikiri yasiyowezekana
Kuna siri kubwa kwenye kichwa ....
.Yote tunayoandika humu kiwanda ni kichwa..kichwa ndio kisima cha mema, mabaya na maarifa yote ulimwenguni
.Baraka za mikono ni kichwani
. Kwa baadhi kuseta mapepo na majini ni kichwa
.kupunga roho chafu ni kichwani
.Kichwa huhusika pia kwenye ibada zetu .Ubatizo ni kichwani
.mataji ya kuvaa mwilini ni kichwani
Ni mengi mengi mengi yanayohusishwa na kichwa naamini dada divine....atakuja kuongezea
View attachment 370921kichwa ndio mashine ya maisha kichwa ndio ufahamu utokao rohoni, kichwa kikishatenganishwa na mwili uzima hukoma
Ndoto zetu na mambo yote yatuhusuyo katika maisha yetu kichwa cheti ndio kila kituView attachment 370922
Itaendelea.....
.
Nguvu hiyo nilikuwa nayo nikiwa bado kijana mdogo. Kwa sasa nimepotezaUna miliki kitu kinachoitwa nguvu za asili kwa king'eng'e ni supernatural powers, hiyo ni karama umepewa bure wengine huipata kwa kupitia mafunzo magumu ya meditation


Anza meditationNguvu hiyo nilikuwa nayo nikiwa bado kijana mdogo. Kwa sasa nimepoteza
Nikiwa sekondari ya bweni ilifika wakati wanafunzi wenzangu walianza kuniogopa, maana nikikuwa na uwezo wa kuhisi kitu au mtu na akatokea muda mfupi baadae, hata kama hatujaonana miaka mingi, nikiona taswira yako kichwani mwangu, lazima tukutane muda huo huo
Tukitoroka shule bila sare, nikisema tubadili njia, watakao nifata wanakuwa salama, wakaidi ilikuwa lazima yawakute maana kwa wakati huo nakuwa nimemuona mwalimu mnoko kichwani mwangu.
Ilikuwa mtu akinionea na nikasononeka mtu huyo ilikuwa lazima limkute jambo baya, ili kuwanusuru nilijifunza namna ya kusamehe na kupotezea
Nilikuwa naweza kufika mahali kwa mara ya kwanza lkn najihisi ni kama nilikwishaenda mahali hapo kabla, na hata location ya maeneo muhimu kama chooni nk nakuwa najua bila kuelekezwa
Nikiangalia filamu zenye mahadhi ya kizamani najihisi kama nilishaishi hapo na nafsi yangu inaguswa sana na matukio ya hapo
KWA SASA NIMEPOTEZA NGUVU HIYO, NATAMANI KUIRUDISHA LKN SIJUI HATA NIFANYA KITU GANI NA NIANZIE WAPI
KAMA HAUTOJARI NAOMBA MWONGOZO WA KUNIREJESHA NILIPOKIWA![]()