...hehehehehe!Habari nilizosikia juu juu asubuhi ya leo kutoka kwenye vyomo vya habari imegundulika kwamba huko Mbeya wakulima/wafugaji wanawapa Nguruwe na kuku dawa za kuongeza nguvu za wagonjwa wa ukimwi ili wakue haraka.
Madhara yake kwa mlaji ni kifo cha gafla ambacho kinasababishwa na magonjwa ya moyo-Cardiac arrest.
Kwa aliyeipata habari hio naomba uweke hapa kwa ajili ya AFYA za watanzania wote. Kwangu mimi ni habari mbaya na ya kushitusha.
very bad news nimeskia redioni wakisoma magazeti na bahati mbaya sikusikia hata gazeti gani wameandika ila watu wawili mkoani mbeya mmoja akiwa mwathirika wa ukimwi wamekiri kufanya hivyo.....
jamani sijui tunaelekea wapi.....
Hii TZ hii bora nihamie TEGETA nalima nakufuga hapo ndio nitukuwa nakula kwa amani. Tutauana jamani.
very bad news nimeskia redioni wakisoma magazeti na bahati mbaya sikusikia hata gazeti gani wameandika ila watu wawili mkoani mbeya mmoja akiwa mwathirika wa ukimwi wamekiri kufanya hivyo.....
jamani sijui tunaelekea wapi.....
gazeti la mtanzania.
hii ni hatari sana.
hii ndiyo faida kwa watanzania tulioamua kuishi bila utaratibu.
ukienda duka la dawa unaweza kupata dawa yoyote bila maelezo ya daktari. wananchi wengi wamekuwa wanaathirika sana kwa hili.
naona wakazi wa mbeya wapo ''kibiashara zaidi''
Chipsi zilizokaangwa kwa mafuta ya transformer kwa kuku aliyekuzwa kwa ARV! Patamu hapo, hasa ukiongeze kidogo na salad zilizolimwa kwenye bonde la nanihii!!
lol!Potelea mbali, mi ntaendelea kumtafuna mnyama no matter what!
lol!
acha ndugu yangu......
MUCH BETTER!..........He hata wewe? Kweli hii serious! Ngoja nihamishie mapenzi yangu kwenye kokoto pale Waungwana!
Chipsi zilizokaangwa kwa mafuta ya transformer kwa kuku aliyekuzwa kwa ARV! Patamu hapo, hasa ukiongeze kidogo na salad zilizolimwa kwenye bonde la nanihii!!
dah, hali inatisha hiiChipsi zilizokaangwa kwa mafuta ya transformer kwa kuku aliyekuzwa kwa ARV! Patamu hapo, hasa ukiongeze kidogo na salad zilizolimwa kwenye bonde la nanihii!!
Habari nilizosikia juu juu asubuhi ya leo kutoka kwenye vyomo vya habari imegundulika kwamba huko Mbeya wakulima/wafugaji wanawapa Nguruwe na kuku dawa za kuongeza nguvu za wagonjwa wa ukimwi ili wakue haraka.