Yeye(Ngurumo) ni nani hadi a'dictate nani aende nani asiende?Nimepokea taarifa hivi punde kutoka kwa mwandishi mmoja wa habari kule kagera,kwamba mwandishi wa habari kutoka dar ansbert ngurumo ameingilia mchakato wa viongozi wa CHADEMA mkoani kuchagua waandishi watakaoambatana na dk slaa kule karagwe.Inasemekana ngurumo amepanga wa kwake,hivyo waandishi wengi wamegoma kwenda kule.Hivyo tusitegee habari yoyote kwenye media juu ya ziara ya kamanda wet Dk slaa .
nimeumia sana.
hii siyo tetesi wala majungu bali tunaomba watu wa chadema kuwa makini
tumia google kubadilisha lugha ili isomeke kwa lugha unayojua mkuu
Yaani jamaa hajaeleweka kabisa, inaonekana alikuwa na haraka
Yaani jamaa hajaeleweka kabisa, inaonekana alikuwa na haraka
Nimepokea taarifa hivi punde kutoka kwa mwandishi mmoja wa habari kule kagera,kwamba mwandishi wa habari kutoka dar ansbert ngurumo ameingilia mchakato wa viongozi wa CHADEMA mkoani kuchagua waandishi watakaoambatana na dk slaa kule karagwe.Inasemekana ngurumo amepanga wa kwake,hivyo waandishi wengi wamegoma kwenda kule.Hivyo tusitegee habari yoyote kwenye media juu ya ziara ya kamanda wet Dk slaa .
nimeumia sana.
hii siyo tetesi wala majungu bali tunaomba watu wa chadema kuwa makini
coverage ya slaa karagwe haitakuwepo! waandishi kagera wamegoma kufanya coverage,kisa ngurumo kuchagua baadhi tu,na hao aliochagua kuungana na waliogoma.issue ni means ya usafiri kufika karagwe.
KAMA TAARIFA YERENYEWE NI HII kakae kwa mumeo na taarifa yako!acha ujinga-mi si mwandishi natoa taarifa hapa,kama nimekosea sory lakini tunafanya hivyo ili tatizo liwe solved mapema,nyie vip lakini
coverage ya slaa karagwe haitakuwepo! waandishi kagera wamegoma kufanya coverage,kisa ngurumo kuchagua baadhi tu,na hao aliochagua kuungana na waliogoma.issue ni means ya usafiri kufika karagwe.
Ngurumo ndiye nani Chadema?hatuna taarifa za uongozi kusafiri kwenda Kagera,tunaomba taarifa zaidi