Ngurumo avuruga ziara ya Slaa Kagera!

qq.com

JF-Expert Member
Jan 9, 2012
367
123
Nimepokea taarifa hivi punde kutoka kwa mwandishi mmoja wa habari kule kagera,kwamba mwandishi wa habari kutoka dar ansbert ngurumo ameingilia mchakato wa viongozi wa CHADEMA mkoani kuchagua waandishi watakaoambatana na dk slaa kule karagwe.Inasemekana ngurumo amepanga wa kwake,hivyo waandishi wengi wamegoma kwenda kule.Hivyo tusitegee habari yoyote kwenye media juu ya ziara ya kamanda wet Dk slaa .

nimeumia sana.

hii siyo tetesi wala majungu bali tunaomba watu wa chadema kuwa makini
 
Yeye(Ngurumo) ni nani hadi a'dictate nani aende nani asiende?
Media si kila moja inajitegemea?...au ndo mkuu wa kitengo cha habari wa cdm?
 
uko dunia gani mkuu! nimecheka sana............
 
Ngurumo ndiye nani Chadema?hatuna taarifa za uongozi kusafiri kwenda Kagera,tunaomba taarifa zaidi
 
Yaani jamaa hajaeleweka kabisa, inaonekana alikuwa na haraka

coverage ya slaa karagwe haitakuwepo! waandishi kagera wamegoma kufanya coverage,kisa ngurumo kuchagua baadhi tu,na hao aliochagua kuungana na waliogoma.issue ni means ya usafiri kufika karagwe.
 
Nimepokea taarifa hivi punde kutoka kwa mwandishi mmoja wa habari kule kagera,kwamba mwandishi wa habari kutoka dar ansbert ngurumo ameingilia mchakato wa viongozi wa CHADEMA mkoani kuchagua waandishi watakaoambatana na dk slaa kule karagwe.Inasemekana ngurumo amepanga wa kwake,hivyo waandishi wengi wamegoma kwenda kule.Hivyo tusitegee habari yoyote kwenye media juu ya ziara ya kamanda wet Dk slaa .
nimeumia sana.
hii siyo tetesi wala majungu bali tunaomba watu wa chadema kuwa makini

Kuna taarifa za ndani sana toka ufisadini kwamba mojawapo ya mkakati mahsusi ambao unatakiwa kutumika kuivuruga chadema ni kupitia waandishi wa habari. Imeelezwa kuwa ccm wametenga kiasi cha takribani 40 bilioni kwa ajili ya kuwatia mkononi waandishi wa habari ili wafanye kazi ya kuichafua Chadema na viongozi wake hasa Dr. Slaa.

Kama kweli Ngurumo ameingilia mchakato wa kupanga waandishi wa habari watakaoambatana na Dr. Slaa wilayani Karagwe, bila shaka atakuwa amepewa majukumu hayo na chama na hiyo inafanyika kwa lengo la kuhakikisha kwamba waandishi wa habari mamluki waliotumwa na ccm hawapati nafsi ya kuwepo katika msafara huo.

Huu ni wakati wa kuwa makini sana na kila mtu tunayemdhania kwamba si salama kwa mustakabali wa chama chetu na viongozi wetu.
 
Pole kwa kupigwa chini vya bure gharama sometimes!

acha ujinga-mi si mwandishi natoa taarifa hapa,kama nimekosea sory lakini tunafanya hivyo ili tatizo liwe solved mapema,nyie vip lakini
 
coverage ya slaa karagwe haitakuwepo! waandishi kagera wamegoma kufanya coverage,kisa ngurumo kuchagua baadhi tu,na hao aliochagua kuungana na waliogoma.issue ni means ya usafiri kufika karagwe.

You are hopeless..
Hata upstairs hakujatulia wewe!
 
acha ujinga-mi si mwandishi natoa taarifa hapa,kama nimekosea sory lakini tunafanya hivyo ili tatizo liwe solved mapema,nyie vip lakini
KAMA TAARIFA YERENYEWE NI HII kakae kwa mumeo na taarifa yako!
 
coverage ya slaa karagwe haitakuwepo! waandishi kagera wamegoma kufanya coverage,kisa ngurumo kuchagua baadhi tu,na hao aliochagua kuungana na waliogoma.issue ni means ya usafiri kufika karagwe.

Mbona unajikanyagakanyaga? kama amechagua wachache kwenda nao Karagwe basi ndio watakaofanya coverage na kutoa taarifa. Sasa unaposema hakutakuwa na coverage unakuwa una maanisha nini? bila shaka wewe ni muathirika wa panga pangua ya Ngurumo si bure.
 
Pole sana kwa kuenguliwa ndugu waandishi wapo wengi si lazima wewe tu ama hao wenzako mlionyimwa fursa hiyo ambao najua mnaigombea kwa sababu ya posho tu na wala si nia njema ya kuandika habari za ziara ya DR. Slaa. Unanishangaza pale unaposema tusitegemee habari zozote za ziara hiyo katika media kwani kila chombo kina sera zake na wahariri ndio wenye maamuzi stori itoke ama isitoke na sio waandishi wa kawaida.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom