Nguo zinaficha mengi

Nguo zinaficha mengi

Kujiangalia sio jambo
baya,kinachopigwa marufuku ni ile tabia ya kupenda kujiangalia sehemu za
siri,iwe ni kwasababu maalumu tu sio unajikodolea wee!

Ni kweli kabisa kwa imani yangu mimi kujiangalia sehemu za siri bila sababu yoyote ni dhambi.
 
Napenda nikiwa mbele ya kioo mtupu, najipendaje sasa. Mungu fundi acha kabisa, sina cha kumpa zaidi ya kumshukuru.

tafadhali ni pm picha yako nami nishiriki kutoa shukrani kwa aliye umba!
 
Napenda kuangalia my naked body .... ama kweli Mungu alifanya overtime!
 
Mbona mie najiona sawa tu itakua kioo changu kinanizuzua lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mbona mie najiona sawa tu itakua kioo changu kinanizuzua lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Wewe Uko Njema Farkhina Hata Frequency Zinasoma Hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom