Nguo zinaficha mengi

Nguo zinaficha mengi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,105
Reaction score
828,992
Hivi ulishawahi kukaa uchi mbele ya kioo na ukajiangalia?

I mean kioo ambacho unajiona mwili mzima ?

Ushawahi kujiangalia mbele na nyuma ?

Body morphology zetu zinatisha zinachekesha mno !

ukijiangalia utajiona miguu yote kama ya kushoto vile au matege kama Peter Tino au kitambi kama mimba ya mbuzi ni vingi mno vinavyochekesha .

Hebu jaribu kujiangalia leo uone nguo zinavyoficha mengi
 
Kumbe na ww unatabia ya kuvua nguo zote na kuanza kujiangalia kwenye kioo kama unalipa au haulipi??........
 
:tape::tape::A S embarassed::A S embarassed:
 
Daah aisee kumbe unakitambi.angalia usije leta mgogoro na shemeji.
 
Mshana sijui wakati mwingine huwa unawaza nini

Horsehoe Arch lakini hii ni fact..! Kuna watu wana miguu kama njiti kinachositiri ni nguo! Sio kuwa naukosoa uumbaji hiyo ni hali halisi
 
Huo utakuwa wili wako ndo unachekesha, mbona me najifurahia.
 
Kumbe na ww unatabia ya kuvua nguo zote na kuanza kujiangalia kwenye kioo kama unalipa au haulipi??........

Mgirik kioo si kwa ajili ya kujiangalia ukiwa umevaa nguo tuu...!
 
Hahahah wengne wana-vitambi mpaka znafunika na madushelele hahah hebu fanyeni diet na nyie wanaume!
 
Early Monday morning tunajiangalia tukiwa uchi kwenye kioo.

Halafu tukifika kazini tunasingizia foleni.

Watanzania tubadilikeni!!
 
kujiangalia ni muhimu..hasa nyie wanaume.Unaweza.kuvaa.pens kumbe miguu kama mikono utachekeshaaa..teh teh kila siku nkiyoka bafun ni lazima.nsimame mbele ya.kioo nijifutefute na kujipakapaka mafuta na kujichungulia alaa..
 
Napenda nikiwa mbele ya kioo mtupu, najipendaje sasa. Mungu fundi acha kabisa, sina cha kumpa zaidi ya kumshukuru.
 
hahahah kwel ww unawaza nn sijui.. bt its true.. mm huenjoy mwili wangu sana vile umekuwa created na curves zake... I admire maself mbaya. angalizo:sina kitambi!
 
mi kuna wakati huwa naaangalia dushelele langu weeee mpaka nacheka sana!

nawazaga hivi watoto wa kike huwa wanajisikiaje mashine kubwa namna hii ikiwa inachimba mchanga ndani mwao??

afu kizuri zaidi sivaagi boxer wala nini, naipa muda wa kurefuka na kunenepa zaidi...!
 
mshana jr angalia tu hiyo kitu isije tamani mwenzie kama yule mwindi aliyekuwa anajinyoa
 
Last edited by a moderator:
Early Monday morning tunajiangalia tukiwa uchi kwenye kioo.

Halafu tukifika kazini tunasingizia foleni.

Watanzania tubadilikeni!!

Karucee leo mapumziko! na sijasema ni muda gani wa kujiangalia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom