Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,950
Habari zenu jamani....
Mwenzenu nikifua nguo yani hata hazikolei sabuni...hata nikifua lile povu la pili inakua bado haikolei vizur kiasi cha povu kutoka yani...
NB:- Huwa navaa nguo mara moja
-Huwa nafulia sabun ya unga(omo au aerial).....
-Huwa naweka sabuni nying tu ya kutosha...
Msaada jamani kwa anaejua sababu ni nini na nifanye nini...

(jokin)...haya but me natumia hayo ya Dar ya bomban ya kawaida tu...
hapana...