Nguo za wazungu

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,152
10,862
Wazungu huwa wanichekesha sana mie!.
Utaona mtu tajiri sana kavaa nguo hata sh.200 haifiki.Akina mama ndio kabisa nguo ya kulalia ndio anatembea nayo sokoni.Hata wakiwa wake wa maraisi wanavaa nguo za kimaskini.
Wanaume wa kizungu wanavaa kaptula ambayo ni nguo sahihi ukienda kijisaidia ndani kwako.
 
Umefanya utafiti wako wapi na kwa muda gani?
Mwita umefikiri kiasi gani kabla hujaandika?.Unadhani hata hili nalo ni la kufanyiwa utafiti.
Hivi humuoni mke wa Obama anavyovaa.Zile nguo zake kwani hazipatikani kwenye mitumba.Na kweli hujapishana na hawa jamaa humu mijini.Mi nna shaka na wewe umewaiga wazungu katika mavazi ndiio maana unataka data za utafiti.
 
Wazungu huwa wanichekesha sana mie!.
Utaona mtu tajiri sana kavaa nguo hata sh.200 haifiki.Akina mama ndio kabisa nguo ya kulalia ndio anatembea nayo sokoni.Hata wakiwa wake wa maraisi wanavaa nguo za kimaskini.
Wanaume wa kizungu wanavaa kaptula ambayo ni nguo sahihi ukienda kijisaidia ndani kwako.
Je wewe unaingili ngua wanazo vaa wanzungu,tetea nguo zako za kiasili.
Charity starts at home
 
Back
Top Bottom