Nguo za nje zinapendeza je za ndani?

Nguo za nje zinapendeza je za ndani?

Mkuu hiyo basi ni ile mizigo isiyopewa matunzo vizuri na mara nyingi inakuwa ina rangi nyeusi kama uvungu wa kwapa...

ha ha! mkuu labda tungewasaidia matunzo gani wabatakiwa waipe hiyo mizigo ili isidebwede au kuwa na rangi nyeusi. hatari!!
 
Are you serious now? Tumekosa Maada nini za kuongea? Jamani humu ndani kuna watu wazima wababa na wamama ambao ni kama wazazi wetu waliotuzaa , hebu tujaribu kuwapa heshima zao wanazostahili , kumbuka hizi nguo za ndani unazotaka tuzidiscuss hata mzazi wako kike anazitumia kila siku why uje kumuaibisha hapa mbele za kadamnasi? That's not good , Mimi ninavyoona ni hivyo kama nimekukwaza nisamehe. Hebu niwapishe na wengine tusikie watakayoyasema. Asante .

wewe ndiye haupo serious! mzazi gani anayejiheshimu anaweza kuvaa chuppi za aina hiyo? kwa ufupi mwanamke anayejiheshimu hawezi kuvaa chuppi anazosema mtoa madah. wanaovaa aina hii ni wanawake/wadada wasiokuwa na heshima na kujiheshimu wenyewe.
 
Of cause i am serious ,what the hell are you talking about ? kuaibisha kupo wapi ? kama ni mzazi wangu anajua nishakua mtu mzima ,ndio akaniambia nioe niondoke nikatafute kwangu,hivi huelewi kuwa kila mtu anabeba mzigo wake ,hata kama mzazi nae yumo humu ,anawajibika kushiriki kujibu ikiwa ana uelewa wa kinachoulizwa tena friendly kabisa ,mbona familia ziliokuwa friendly zinazungumza mambo makubwa mazito na kujadiliana kwa marefu na mapana ,ukiona familia iko ni wakali ,baba mkali mama mkali,kaka mkali,dada mkali ,kila mmoja anaukali kwa upande wake ,elimu ya saikolojia inatwambia si bure lazima ukali huo utakuwa unatolewa ili kuogopesha na utakuwa kuna mambo alie mkali anayaficha na pengine hataki kuulizwa ,wachunguze sana watu wakali ,kila wakati wamekasilika ,hawaoneshi fulaha hata chembe ,ujue hapo pana siri nzito ,kwa mfano mdogo na mwepesi ,ukichacha ,ukiwa huna hela aloo unakuwa mkali ile mbaya ,jambo kidogo umekasilika ,ila kwa walio karibu yako hutamtamkia yeyote yule ,ukiombwa hela unaweza kutoa sababu kuwa una shida nazo huwezi kutoa kumbe huna . ni kaelimu kadogo tu hako kasaikolojia.

Hivi pale inapochezwa ngoma ya kigodolo panakuwa hapana watoto pale,pamnakuwa hapana watu wazima pale panakuwa hapana wazazi ,okay kama hii hoja imekugusa we ipotezee tu ,!

mkuu unatumia maguvu mengi kweli kutete ujinga!

Peleka mswada basi bungeni itungwe sheria bikini zisivaliwe!

Hivi kweli tumekoswa cha kujadili...tunajadili bikini kweli tumeendelea.
 
Back
Top Bottom