Asante mkuuMazingira kwanza ni Rafiki....!!
Mitumba ya watoto sio biasahara nzuri maeneo ya Ushuani au maeneo ya Uswahilini sana..!!
Jitahidi kuwa katika Mazingira Neutral (si Uzunguni sana wa si Uswahilini)
Usipozingatia hili biashara itakuwa ngumu kwako..