Nguo za Mtumba kwa jumla na Rejareja

Nguo za Mtumba kwa jumla na Rejareja

thriftwaika

Member
Joined
Mar 7, 2022
Posts
63
Reaction score
68
Jina la biashara ni thriftwaika au kwa namna rahisi Waika Mitumba

Ni wauzaji wa nguo za mtumba za kike na watoto kwa bei ya jumla na Rejareja

Tunaouzoefu wa miaka zaidi ya minne (4) kwenye biashara hii..Na kwa uzoefu wetu tunatambua kuwa hitaji kubwa zaidi kutoka kwa watu kwenye bidhaa hizi za mtumba ni UBORA wa nguo.

UBORA wa nguo za mtumba umekua ni kilio kikubwa kwa watumiaji wa mwisho na wafanyabiashara pia

Sisi Waika mitumba kwa kuliona jambo hilo tumekuletea namna nzuri ya kuepuka hasara kwa kukuzia nguo zenye ubora kwa bei ya jumla na Rejareja..

Msimu huu wa mwisho wa mwaka tumeweka ofa maalum kwaajili ya wateja wetu wapya kuweza kujipatia bidhaa zetu kwa gharama nafuu ili kuthibitisha ubora wake

Endelea kufatilia post zetu hapa kwa taarifa zaidi

Mawasiliano yetu ni 0718 304 800 na 0652 094 262

IMG-20240122-WA0047.jpg
IMG-20240122-WA0049.jpg
IMG-20240122-WA0052.jpg
IMG-20240122-WA0058.jpg
IMG-20240122-WA0061.jpg
 

Attachments

  • IMG-20240122-WA0059.jpg
    IMG-20240122-WA0059.jpg
    140.3 KB · Views: 10
  • IMG-20240122-WA0066.jpg
    IMG-20240122-WA0066.jpg
    116.2 KB · Views: 13
  • IMG-20240122-WA0068.jpg
    IMG-20240122-WA0068.jpg
    105.1 KB · Views: 11
  • IMG-20240122-WA0070.jpg
    IMG-20240122-WA0070.jpg
    133 KB · Views: 10
  • IMG-20250907-WA0029.jpg
    IMG-20250907-WA0029.jpg
    559.9 KB · Views: 9
  • IMG-20250907-WA0033.jpg
    IMG-20250907-WA0033.jpg
    535.4 KB · Views: 8
  • IMG-20250916-WA0016.jpg
    IMG-20250916-WA0016.jpg
    74.3 KB · Views: 13
  • IMG-20250916-WA0001.jpg
    IMG-20250916-WA0001.jpg
    54 KB · Views: 10
  • IMG-20250916-WA0030.jpg
    IMG-20250916-WA0030.jpg
    57.3 KB · Views: 15
  • IMG-20250924-WA0005.jpg
    IMG-20250924-WA0005.jpg
    56.4 KB · Views: 7
  • IMG-20250928-WA0005.jpg
    IMG-20250928-WA0005.jpg
    78.9 KB · Views: 7
  • IMG-20250928-WA0006.jpg
    IMG-20250928-WA0006.jpg
    60.9 KB · Views: 9
  • IMG-20250928-WA0007.jpg
    IMG-20250928-WA0007.jpg
    73.2 KB · Views: 14
  • IMG-20250928-WA0017.jpg
    IMG-20250928-WA0017.jpg
    83.5 KB · Views: 7
  • IMG-20250928-WA0018.jpg
    IMG-20250928-WA0018.jpg
    95.4 KB · Views: 11
  • IMG-20251007-WA0002.jpg
    IMG-20251007-WA0002.jpg
    111.7 KB · Views: 11
  • IMG-20251007-WA0003.jpg
    IMG-20251007-WA0003.jpg
    193.1 KB · Views: 9
Back
Top Bottom