kubwalamaadui
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 328
- 51
wana jamvi!hivi kati ya ke na me yupi nimuhimu sana kuvaa pichu.
mf. kama ipo moja tu ni nani ni muhimu kuvaa

Me, maana maumbile yanatisha yakiwa wazi! Lol mbona me ni man lakini sivai hzo mambo?
wana jamvi!hivi kati ya ke na me yupi nimuhimu sana kuvaa pichu.
mf. kama ipo moja tu ni nani ni muhimu kuvaa
Me, maana maumbile yanatisha yakiwa wazi! Lol
...kweli leo ijumaa,Mungu tusaidie wajawako...
Mmmh... Haya maswali mengine..!
huu sasa ni uchochezi!
chupi sio muhimu sana.
wangapi wanatembea bila chupi?unaweza kutembea bila kuvaa
wana jamvi!hivi kati ya ke na me yupi nimuhimu sana kuvaa pichu.
mf. kama ipo moja tu ni nani ni muhimu kuvaa
Mkuu kweli kweli hiki ndicho ulichoamua kutuletea hapa kwenye jukwaa letu lenye heshima namna hii duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!!!!!!! binadamu tunatofautiana sana.