Nguo nyeusi kwenye msiba

Nguo nyeusi kwenye msiba

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,213
Reaction score
18,455
Tumekua tukishuhudia au sisi wenyewe kuvaa nguo nyeusi wakat tunapofiwa na ndugu ,jamaa na marafiki zetu wa karibu . Lakini hata hivyo watu wengi huwa hawaelewi why wafiwa na baadhi ya waombolezaji huvaa nguo nyeusi, wengi udhani ni fashion tu au ishara ya kuonyesha huzuni na simanzi.

Ukweli ni kwamba, nguo nyeusi kwenye misiba Uwa ni ishara ya kufukuza pepo wachafu/ roho za mauti ambazo mara nyingi hupendelea kuvizia sehemu hizo na kuvaa watu kwenye ulimwengu wa Giza na kuwadhuru wanavyotaka.

Pia nguo hizo huvaliwa siku maalum(sizitaji) na jamii ya watu flani kuondoa nuksi, balaa na mikosi ndani ya siku hizo mbili maalumu za kati kati ya wiki.

Rangi nyingi za Nguo tunazovaa huwa zina maana yake katika ulimwengu wa roho/ usioonekana

Rangi maalumu ambazo Mara nyingi hutumika hata kwa waganga na uchawi ni nyekundu, nyeusi na nyeupe

Warumi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠
 
Kila kitu kinaanzia kwenye fikra, kama wewe hizo ndio fikra zako uko sahihi, ila mimi naweza nikavaa nguo yoyote na hayo mapepo yasiniguse

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumekua tukishuhudia au sisi wenyewe kuvaa nguo nyeusi wakat tunapofiwa na ndugu ,jamaa na marafiki zetu wa karibu . Lakini hata hivyo watu wengi huwa hawaelewi why wafiwa na baadhi ya waombolezaji huvaa nguo nyeusi, wengi udhani ni fashion tu au ishara ya kuonyesha huzuni na simanzi.

Ukweli ni kwamba, nguo nyeusi kwenye misiba Uwa ni ishara ya kufukuza pepo wachafu/ roho za mauti ambazo mara nyingi hupendelea kuvizia sehemu hizo na kuvaa watu kwenye ulimwengu wa Giza na kuwadhuru wanavyotaka.

Pia nguo hizo huvaliwa siku maalum(sizitaji) na jamii ya watu flani kuondoa nuksi, balaa na mikosi ndani ya siku hizo mbili maalumu za kati kati ya wiki.

Rangi nyingi za Nguo tunazovaa huwa zina maana yake katika ulimwengu wa roho/ usioonekana

Rangi maalumu ambazo Mara nyingi hutumika hata kwa waganga na uchawi ni nyekundu, nyeusi na nyeupe

Warumi

Sent from my iPhone using JamiiForums
Warumi na JF Intelligence wapi na wapi yani na hii mada imekaa kimbea mbea.

BTW huwa wanavaa nguo nyeusi wakihofia kuchafuka muda ule wakiwa wanalia huku wanajigalagaza chini .
 
Shit story.

Bado Naendelea Kujifunza
 
Tumekua tukishuhudia au sisi wenyewe kuvaa nguo nyeusi wakat tunapofiwa na ndugu ,jamaa na marafiki zetu wa karibu . Lakini hata hivyo watu wengi huwa hawaelewi why wafiwa na baadhi ya waombolezaji huvaa nguo nyeusi, wengi udhani ni fashion tu au ishara ya kuonyesha huzuni na simanzi.

Ukweli ni kwamba, nguo nyeusi kwenye misiba Uwa ni ishara ya kufukuza pepo wachafu/ roho za mauti ambazo mara nyingi hupendelea kuvizia sehemu hizo na kuvaa watu kwenye ulimwengu wa Giza na kuwadhuru wanavyotaka.

Pia nguo hizo huvaliwa siku maalum(sizitaji) na jamii ya watu flani kuondoa nuksi, balaa na mikosi ndani ya siku hizo mbili maalumu za kati kati ya wiki.

Rangi nyingi za Nguo tunazovaa huwa zina maana yake katika ulimwengu wa roho/ usioonekana

Rangi maalumu ambazo Mara nyingi hutumika hata kwa waganga na uchawi ni nyekundu, nyeusi na nyeupe

Warumi

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hayo ni mafikara yako potofu mkuu. Pepo wachafu wanaweza kufukuzwa tu na rangi ya nguo kweli? jiongeze
 
Kuna mambo mengi wabongo hatuyajui ila kwa kujitia wajuaji hatujambo.mbona anachosema warumi ni mambo yanayojulikana tu
 
Back
Top Bottom