Ngumu kumeza

Ngumu kumeza

Tiger

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2007
Posts
1,747
Reaction score
387
Wadau, kuna huu mtazamo kuwa ukimpenda mtu na kumuonesha wazi kuwa yeye ndiye kila kitu kwako(kimahusiano), basi huyo mtu atakufanyia vituko kwakuwa anajua kwakwe umenasa kweli kweli.
Nilijaribu kuongea na mwanasaikolojia juu ya swala hili akasema huo si mtazamo sahihi, na kuongeza kuwa, ukimpenda mtoto wa kike kwa asilimia kadhaa, yeye atakupa mara mbili ya upendo wako. Hebu wadau toeni mchango wenu juu ya hili.
 
Mbona maudhui ya kichwa cha habari na habari yenyewe ni kama vinatofautiana?

Hata hivyo ngoja nijikite kwenye habari kama ambavyo umejitahidi kujifaragua.

Mara zote upendo huwa haujivuni, hausemi uongo hivyo suala la kuuonesha kwa mwenzi wako sio suala la kujilazimisha bali ni wajibu.

Hivyo mwenzi wako anapaswa kutambua na kujua ni kwa namna gani anapendwa.
 
Hao wanaofanya hivyo maranyingi ni watoto wa huku kwetu uswazi...mafiga matatu....lakini ukimkuta mwanamkwe anaejitambua vizuri ambae anajua ni kwa nini yuko kwnye relationship au ndoa..ukimpenda yeye anakudhamini zaidi...lakini mwanamke ambae haoni mbali...anaweza kukusumbua sana...
 
Hawa wanasaikolojia wanavyopendwa kusingiziwa jamani!!!!!!!
 
Mbona maudhui ya kichwa cha habari na habari yenyewe ni kama vinatofautiana?

Hata hivyo ngoja nijikite kwenye habari kama ambavyo umejitahidi kujifaragua.

Mara zote upendo huwa haujivuni, hausemi uongo hivyo suala la kuuonesha kwa mwenzi wako sio suala la kujilazimisha bali ni wajibu.

Hivyo mwenzi wako anapaswa kutambua na kujua ni kwa namna gani anapendwa.

Asante kwa kuchagia.
Title iko hivyo kuwa wapo wanaokubali na wanaopinga huo mtazamo.
 
Hawa wanasaikolojia wanavyopendwa kusingiziwa jamani!!!!!!!

Sijamsingizia mwanasaikolojia. Tena kama ni member humu jf anawezakuthibitisha hilo. Ni mtu mmoja anayekubalika sana hapa nchini.
 
Binafsi naona mawazo ya huyo mwanasaikolojia yana ukweli!!
 
Hata mimi nilishawahi kusikia hilo suala,lakini nilipoingia ktk serious relation niliamua kumuonyesha mwenzangu jinsi ninavyompenda bila kuhofia chochote nakwa hilo namshukuru Mungu cuz kutokana na kumuonyesha namna ninavyompenda kwa dhati na yeye anareply kwa macare ya ajabu,yani ukiachana na matatizo madogo madogo yakibinadamu naenjoy sana haya mahusiano,women knows how to care bhana.thanks God kwa kunipa huyu mwanamke.
 
Mawazo yangu ni kama ifuatavyo hapa chini ...
  • Ukimpenda mtu na kumuonesha wazi kuwa yeye ndiye kila kitu kwako(kimahusiano), basi huyo mtu atakufanyia vituko kwakuwa anajua kwakwe umenasa kweli kweli.
    Huu Mtazamo siyo sahihi

  • Nilijaribu kuongea na mwanasaikolojia juu ya swala hili akasema huo si mtazamo sahihi, na kuongeza kuwa, ukimpenda mtoto wa kike kwa asilimia kadhaa, yeye atakupa mara mbili ya upendo wako.
    Huu mtazamo una ukweli ....
 
Experience ni mwalimu mzuri sana katika maisha, ndio maana mada ikawekwa mezani ili watu waongee from experience rather than just thinking part of it.
 
kupenda ni sawa lakini ukianza kumuonyesha mtu kwamba you love him very much
sijui you cant live without him,he will take you for granted.....

its cool to love someone very much but there are some people who take it
in a wrong way instead of appreciation........,
 
Inategemea na mtu mwenyewe, na sababu zake za kua na wewe
kama mtu anakupenda kwa dhati, na unamuonesha mapenzi ya dhati
kwanini akuumize? maana kuumia kwako wewe kunamkosesha furaha
Ila kama yuko na wewe kwa sababu zingine (pesa, exposure, positioning)
anaweza kutumia nafasi hiyo ya kua "your all" kwa ku-push agendaa yake
My take: why would someone else be your all?
be the most important person of your own life!
 
Back
Top Bottom