Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,700
- 1,721
Wakuu, bahati mbaya sikuirekodi ila wanautaratibu wa kurejea siku ya jumapili katika kipindi cha michezo mchana, na huku kila j2 TANESCO wanatukatia umeme mchana kutwa. Katika kipindi cha michezo cha Clouds radio cha saa tatu usiku pana utaratibu wamejiwekea wa kuzungumza kama maoni vile na kuita 'Ngumu kumeza.
Jana wamechambua vizuri na ukweli kabisa kuhusu kamati za usajiri za vilabu vya Simba na Yanga na hata Azam. Tatizo nililoliona kwa Azam ni kutowatumia vilivo wachezaji wa nje. Yanga inafanya vizuri kwa kuhakikisha wanawatumia vilivo wachezaji wa nje.