usitishike na neno dear. mim msg zote ninazopata kutoka kwa mabint lazima waniite baby. sweet. dear.mr handsome. husband etc lakin wote ni marafik wa kawaida tu na wala sina mpango nao.