ngumu kumesa

ngumu kumesa

Ungejibu hawajambo mimi housemaid lini utakuja ona watoto?
 
usitishike na neno dear. mim msg zote ninazopata kutoka kwa mabint lazima waniite baby. sweet. dear.mr handsome. husband etc lakin wote ni marafik wa kawaida tu na wala sina mpango nao.

ni marafik tu.

Mmm basi hatari
 
Iwe kweli, iwe utani.Unabaki kuwa mama watoto wake wa ukweli tu.
 
Back
Top Bottom