Ungejibu wazima,mimi mama yao.,wewe nani mwenzangu?
usikute ni mdogo wako kamtania shemeji yake lol
unatafuta nini kwenye simu ya mume wako? utapata stress bure.
mmmmmmmmmmmmh!!baby,sweetie,husband?usitishike na neno dear. mim msg zote ninazopata kutoka kwa mabint lazima waniite baby. sweet. dear.mr handsome. husband etc lakin wote ni marafik wa kawaida tu na wala sina mpango nao.
ni marafik tu.
nimekuta mesage ya namna hii (habari dear, mzima weye na watoto wangu. Nimekumisijeee) . Hiyo ni meseji nimeikuta kwa mume wangu je nimese au naibiwa
ivi wanaoongea hivi "nimese'' akimaanisha ''nimeze'' ni wa wapi hawa?