umeona huo mkono?bonge la ngumiHuyo ni Mamndenyi akimtwanga miss chagga
Hayo ni maombi ya kutoa pepo kaa mbali bora kujiombea mwenyewe, ukitoka hapo anakwambia pepo limekupiga, limekuumiza usiruhusu tena likuingie looh
halafu wapo kanisani hapo
Babu alikuwa anampeleka puta ilembaya so yupo fit kutokana na experience aliyoipataBibi umri umekimbia ila yupo gado sijui alikua anakula nini ujana wake sio sisi wa siku hizi vichipsi na visoda mara kushinda na njaa ati balance diet lol
Babu alikuwa anampeleka puta ilembaya so yupo fit kutokana na experience aliyoipata
Huyo ni Mamndenyi akimtwanga miss chagga
halafu wapo kanisani hapo
Huyo ni Mamndenyi akimtwanga miss chagga
Mh! We mwana we, shauri yako...
Usijali mamii...Wacha uchawi
Sikiliza, miss chagga ni anti yangu ya damu,
Nitaanzaje kumpiga.
Sema ni Kongosho anampigania Bishanga.