Ngumi mkononi kwa kuitwa TWITE

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,594
446
............. Jamani hii sio utani bali ni live bila chenga nimeshuhudia ugomvi wa watu kushikana na kutupiana ngumi kisa jamaa wa Simba kumuita mtani wake wa siku nyingi TWITE, jamaa wa Yanga analalamika ....... wewe utani umezidi yaani unaniita mimi TWITE kwani jina langu hulijui ....kuanzia leo sitaki utani na wewe... watu wanawaacha washikishane adabu
 
Kumbe Baada ya kunyosha mkono juu ishara ya tano sasa hivi TWITE!
 
Back
Top Bottom