nguchiro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa awajia juu waliomkosoa kuita wananchi Nguchiro asema 'Wewe kama siyo Nguchiro kime kuuma nini?'

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, anaweka wazi juu ya watu walioweka namba yake ya simu mtandaoni na watu wengine kutumia namba hiyo kumrushia matusi.
  2. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Wito kwa serikali kuhusu uzingatiaji wa sheria ya takwimu (sura ya 351

    Kwa kuzingatia masharti ya Kifungu cha 37 cha Sheria ya Takwimu, kinachokataza utoaji na upotoshaji wa takwimu rasmi kwa nia ya kuwahadaa wananchi, Serikali inapaswa kuimarisha usimamizi kwa wanasiasa na viongozi wa kijamii wanaotoa takwimu bila weledi. Nukuu ifuatayo inapaswa kuwa muongozo...
  3. kadeti

    JamiiForums Tanzania Nguchiro na Ngedere....nani anapaswa kudhibitiwa zaidi..?

    Zama zile Tuliitwa Ngedere na wengine wakadiriki kutumbia ya kwamba tuamie Burundi, lkn zama hizi tunaitwa Nguchiro. Jamani wanasiasa punguzeni zarau na kujiona ya kwamba mmefika climax au untouchable....Mimi uwa Nina amini malipo uwa ni apa apa Duniani. Unatumia Kodi za nguchiro na Bado...
  4. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Nguchiro na haki hawapatani

    "Africa inasalia kuwa bara pekee duniani ambapo kiwango kikubwa cha wanaharakati na wanasiasa wenye 'unguchiro' wanadai haki, ilihali wao wenyewe wanashindwa kuitekeleza misingi hiyo. Ni taswira ya bara ambalo tabaka hilo linapenda kukosoa kila jambo (kwa matusi na dhihaka), likitumia uhuru wa...
  5. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa tuache unguchiro

    "Hebu tafakari: Mwanasiasa anasimama mbele ya wafuasi wake na kuanza kuwaponda viongozi wa Serikali kuwa hawana akili au ni wajinga, akidai hawawezi kuleta maendeleo; wakati huo huo, huko anakotoka ameshindwa hata kuwahamasisha na kuwawezesha vijana wa chama chake walau kujiajiri. Katika...
Back
Top Bottom