Haina ukweli wowote, mbwa akiona nyoka wa aina yeyote hata mjusi lazima atamfuata na kumnusa ili ajuwe kama ni chakula au la.
Asee nimecheka,watu wana teknolojia ya ajabu.Kuna jamaa alikuwa anapasulisha mbao miaka ya 2004 kule mkoa wa njombe, ilikuwa ukienda kuiba mbao zake usiku unavurugwa, badala ya kupeleka ulikodhamiria kupeleka kama ni kwa mteja au kwako, unajikuta umepeleka nyumbani kwake.
Ukifika pale kwake unamkuta anakusubiria, anakuonesha sehemu ya kuweka na kukushukuru sana. Baada ya hapo ndio unapata akili na kuondoka kwa aibu.
Nahisi dawa ilitokana na huyu mdudu.
Kuna video clip moja ilisambaa sana, inaonesha mbwa akijinasua toka kwa chatu na kufanikiwa kuepa.
Ilo swala la kuishiwa nguvu halina ukweli kabisa
Hata akiwa German Shepherd?Kwakweli bado natafiti hili... Mbwa hata awe hodari vipi akishaliona lile dubwana huchanganyikiwa kabisa na kukosa ujasiri huku akijipeleka kuliwa bila utashi wake
Uliishuhudia au ulihisiHiyo ya kunukia wali porini nilishawahi kuishuhudia ndani ya msitu mzito
Uliishuhudia au ulihisi
Kama wali mbwa wa polisiMbwa wa kizungu wakoje? Ni kama huyu?
Basi tufanye Bwana asipoulinda mji waulindao wakesha bure!Nao kuna mahali wanafika wanasanda