EEX
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 4,404
- 14,268
Ngosha alienda duka wanalouza vifaa vya elektroniki na chezo lilikua hivi;
Ngosha;tv bei gani?
Muuzaji;siuzi tv,ondoka we Ngosha.
Ngosha akaondoka akaenda kunyoa nywele na ndevu akarudi upya.
Ngosha;tv shilingi ngapi?
Muuzaji;nimesema siuzi tv,ondokaa we Ngosha.
Ngosha akaondoka akaenda kuvaa kofia,akakunja sura aonekane tofauti.
Ngosha;mzee tv bei gani?
Muuzaji;siuzi tv na ondoka we Ngosha.
Ngosha;samahani mbona kila nikijibadili,unanitambua na hutaki kuniuzia tv.
Muuzaji;ninakugundua kwa sababu hii ni microwave oven na sio tv.