Ndugu yangu kwanza kabisa hongera kwa kuwa na nia nzuri.Funding ya NGO ni jambo rahisi na gumu.Kwanza unatakiwa ufahamu kuwa unapoanzisha NGO sources zako fund unataka ziwe nini.Sio lazima iwe ni wazungu.Unaweza kutumia vyanzo vya ndani vya mapato kama vile makampuni makubwa kama sehemu yao ya CSR.Unachofanya ni kuwapa mileage ya P katika shughuli hizo.Ukishaweza kujiweka sawa katika local funding basi unaweza kwenda kwenye balozi mbalimbali nao watakuunganisha na taratibu za kupa grants.Unaweza pia kujaribu serikalini kwani grants nyingine zinapitia serikali na katika NGOs nyingine.
Jambo la muhimu unapotaka kuanzisha NGO ni kufahamu kama kuna taasisi nyingine zinazofanya unalofanya ila mbadilishane uzoefu.Pili ni kuwa na fundraising strategy ambayo itakuwezesha wewe kukusanya michango ya wafadhili mbalimbali wa ndani na nje.Cha muhimu usianzishe NGO kama wewe mwenyewe ni beneficiary wa NGO yaani unataka kupiga hela.Fanya hivo kama tayari una mchongo wa wafadhili kama hauna wafadhili basi endelea kuchoma maindi inalipa kuliko NGO
Ushauri wa Google huu wa How to Oparate NGOs au on How finance NGOs.
NGOs zinazo trade nyingi ni zile zenye source kutoka nje au kwa watu wakubwa.
Unakuta mtu ana Jamaa yake huko nje anakuwa ana mpatia Link za fund.
Hizo fundrise unazo sema ni ngumu mno si kwa mazigira au bongo hii.
Hakuna sehemu ambayo wazungu wanapaogopa kama NGOs na walisha pewa brefing za kutosha.
Na ukisema wabongo wenyewe wa kufinance labda iwe harusi.
Ukitaka kufanya NGOs kuwa na fund zako na ndo maana hizo vitu huanzishwa na watu wenye pesa zao na wana tun kwa pesa zao.
Sasa mtu ukianzisha then utegemee hapo hapo ndo utokee kimaisha inakuwa ngumu sana.
Na huwezi anza tu kwa kuanza kutafuta Fund. Lazima uwekeze pesa zako wewe mwenyewe. Lazima ujenge jina lako,
Mtu akitaka kufinance lazima ajue usha fanya kazi ngapi na kwa pesa ipi?
Sasa akisikia ulikuwa unatumia pesa yako mwenyewe inakuwa rahisi kidogo.
All in all Local NGOs zina matatizo sana kwenye Fund ukilinganisha na hizi Intetnational ambazo nisha elezea sababu.