MWITONGO MAARIFA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 276
- 1,428
Sishangai wewe kujiita ndege john. Jina limekubaliana na wewe.Asante JPM HILI jipu Ni la muda mrefu.wapiga deal hawatabaki salama.serikali ipo sawa kusimamia dhumuni la fedha zinazotolewa.humuhumu vi NGO'S uchwara vitatupiliwa mbali.maana nchi hii ilishaoza mjini mpaka vijijini.inyoke tu
CCM mbele kwa mbele mpaka wakati usio na kipimo.sisi TUNAELEWA tulipotoka na tunapokwenda HAKUNA namna MAGUFULI anatosha sana .ana akili ,ana uchungu na nchi
UNAOGOPA NINI?Ipo taarifa ya NGO kuelekezwa kuwasilisha taarifa zao za fedha TAKUKURU ikiwa ni pamoja na wahisani wao.
Hivi ukaguzi wa mahesabu wa taasisi hizi ukavuliwa na Nani? Je, riport zake upelekwa wapi hadi wanatiliwa mashaka na vyanzo vyao vya fedha?Tutegemee nn baada ya ukaguzi wa taasisi hizo unaotegemea kufanywa na TAKUKURU?
Hapa naona mwendo wa kufukuza ma donor na wawekezaji huu ubabe mavi ulimponza mugabe na degree zake 7Ipo taarifa ya NGO kuelekezwa kuwasilisha taarifa zao za fedha TAKUKURU ikiwa ni pamoja na wahisani wao.
Hivi ukaguzi wa mahesabu wa taasisi hizi ukavuliwa na Nani? Je, riport zake upelekwa wapi hadi wanatiliwa mashaka na vyanzo vyao vya fedha?Tutegemee nn baada ya ukaguzi wa taasisi hizo unaotegemea kufanywa na TAKUKURU?
kazi ipo kwenye utawala huuKwanini Watanzania tunaamini sana kwenye kuibiwa? Kila Jambo kwetu tunaliona kwa upande wa wizi tu hadi tumelemaa, hatuwazi ajira, elimu na misaada kwa jamii bali tunawaza wizi tu.
Kuna taasisi imewahi kuweka viwango flani vya mishahara kwa watu wake Mara majungu yakaanza kwamba wanalipana fedha nyingi, kilichofuata wabongo wakashushiwa mishahara lakini raia wa kigeni wakaendelea kulipwa tena na nyongeza juu. Kwa upuuzi wabongo waliopeleka majungu wakawa wanashangilia bila kuhoji wamenufaikaje na punguzo la mishahara?haya ndiyo mawazo yetu kila siku wizi wizi wizi utadhani tunatoa sisi hizo fedha.
Ningetamani TAKUKURU waweke na mikakati ya kuongeza wahisani kwenye taasisi hizi kupunguza tatizo la ajira na kupunguza umaskini na magonjwa.watoe elimu na kuwafichua wabadhirifu kwa Nia ya kusonga mbele siyo kuzifuta NGOs
huna akili wewe,Nchi inawashinda sasa hivi mnaingilia NGOs ..black skin is the rejected colour for sureAsante JPM HILI jipu Ni la muda mrefu.wapiga deal hawatabaki salama.serikali ipo sawa kusimamia dhumuni la fedha zinazotolewa.humuhumu vi NGO'S uchwara vitatupiliwa mbali.maana nchi hii ilishaoza mjini mpaka vijijini.inyoke tu
CCM mbele kwa mbele mpaka wakati usio na kipimo.sisi TUNAELEWA tulipotoka na tunapokwenda HAKUNA namna MAGUFULI anatosha sana .ana akili ,ana uchungu na nchi
A) kuna watu wanawindwa.Ipo taarifa ya NGO kuelekezwa kuwasilisha taarifa zao za fedha TAKUKURU ikiwa ni pamoja na wahisani wao.
Hivi ukaguzi wa mahesabu wa taasisi hizi ukavuliwa na Nani? Je, riport zake upelekwa wapi hadi wanatiliwa mashaka na vyanzo vyao vya fedha?Tutegemee nn baada ya ukaguzi wa taasisi hizo unaotegemea kufanywa na TAKUKURU?
Hapa wakuu tuache ushabiki,Magufuli yupo sahihi.NGOS nyingi za kipigaji tuu wala hawapo kusaidia wananchi.
Kama tutakumbuka sakata la UAMSHO Kyle Zanzibar walijifanya wanaeneza dini kumbe sana ajenda za kigaidi za kushirikiana BOKO HARAM(kwa mujibu wa ripoti ya Scotland Yard)
Acha kukurupuka lala kwanza,utatoa maoni kesho usingizi ukiisha.Mbona point A na B hazishabihiani
off course sirhuna akili wewe,Nchi inawashinda sasa hivi mnaingilia NGOs ..black skin is the rejected colour for sure