NGO's zatakiwa kuwasilisha taarifa za fedha TAKUKURU

MWITONGO MAARIFA

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
276
1,000
Ipo taarifa ya NGO kuelekezwa kuwasilisha taarifa zao za fedha TAKUKURU ikiwa ni pamoja na wahisani wao.

Hivi ukaguzi wa mahesabu wa taasisi hizi ukavuliwa na Nani? Je, riport zake upelekwa wapi hadi wanatiliwa mashaka na vyanzo vyao vya fedha?Tutegemee nn baada ya ukaguzi wa taasisi hizo unaotegemea kufanywa na TAKUKURU?
 
ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
9,040
2,000
Asante JPM HILI jipu Ni la muda mrefu.wapiga deal hawatabaki salama.serikali ipo sawa kusimamia dhumuni la fedha zinazotolewa.humuhumu vi NGO'S uchwara vitatupiliwa mbali.maana nchi hii ilishaoza mjini mpaka vijijini.inyoke tu
CCM mbele kwa mbele mpaka wakati usio na kipimo.sisi TUNAELEWA tulipotoka na tunapokwenda HAKUNA namna MAGUFULI anatosha sana .ana akili ,ana uchungu na nchi
 
butron

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
1,459
2,000
Na tutakwenda mguu kwa mguu mpaka kieleweke,watatufanya nini!
(Kwa hisani ya spika)
 
MWITONGO MAARIFA

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
276
1,000
Kwanini Watanzania tunaamini sana kwenye kuibiwa? Kila Jambo kwetu tunaliona kwa upande wa wizi tu hadi tumelemaa, hatuwazi ajira, elimu na misaada kwa jamii bali tunawaza wizi tu.
Kuna taasisi imewahi kuweka viwango flani vya mishahara kwa watu wake Mara majungu yakaanza kwamba wanalipana fedha nyingi, kilichofuata wabongo wakashushiwa mishahara lakini raia wa kigeni wakaendelea kulipwa tena na nyongeza juu. Kwa upuuzi wabongo waliopeleka majungu wakawa wanashangilia bila kuhoji wamenufaikaje na punguzo la mishahara?haya ndiyo mawazo yetu kila siku wizi wizi wizi utadhani tunatoa sisi hizo fedha.

Ningetamani TAKUKURU waweke na mikakati ya kuongeza wahisani kwenye taasisi hizi kupunguza tatizo la ajira na kupunguza umaskini na magonjwa.watoe elimu na kuwafichua wabadhirifu kwa Nia ya kusonga mbele siyo kuzifuta NGOs
 
2hery

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,696
2,000
Si wanadai Chadema ni NGO.ngoja tuone uongo wa watu wazima ukiwekwa wazi.
 
butron

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
1,459
2,000
Hapa wakuu tuache ushabiki,Magufuli yupo sahihi.NGOS nyingi za kipigaji tuu wala hawapo kusaidia wananchi.
Kama tutakumbuka sakata la UAMSHO Kyle Zanzibar walijifanya wanaeneza dini kumbe sana ajenda za kigaidi za kushirikiana BOKO HARAM(kwa mujibu wa ripoti ya Scotland Yard)
 
wagaba

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,106
1,500
Asante JPM HILI jipu Ni la muda mrefu.wapiga deal hawatabaki salama.serikali ipo sawa kusimamia dhumuni la fedha zinazotolewa.humuhumu vi NGO'S uchwara vitatupiliwa mbali.maana nchi hii ilishaoza mjini mpaka vijijini.inyoke tu
CCM mbele kwa mbele mpaka wakati usio na kipimo.sisi TUNAELEWA tulipotoka na tunapokwenda HAKUNA namna MAGUFULI anatosha sana .ana akili ,ana uchungu na nchi
Sishangai wewe kujiita ndege john. Jina limekubaliana na wewe.
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,925
2,000
Ipo taarifa ya NGO kuelekezwa kuwasilisha taarifa zao za fedha TAKUKURU ikiwa ni pamoja na wahisani wao.

Hivi ukaguzi wa mahesabu wa taasisi hizi ukavuliwa na Nani? Je, riport zake upelekwa wapi hadi wanatiliwa mashaka na vyanzo vyao vya fedha?Tutegemee nn baada ya ukaguzi wa taasisi hizo unaotegemea kufanywa na TAKUKURU?
UNAOGOPA NINI?
 
kirikou1

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
4,084
2,000
Siamini katika NGOs kwenye kutatua changamoto halisi za mwafrika naongea kama mtu niliyefanya kazi humo
Nyingine ni UN organs.
Maana halisi ya NGOs kwa mtizamo wangu ni nchi kutangaza tamaduni zao na kupunguza tatizo la ajira nchini mwao fedha zinakotoka
(Kwa Afrika ni tofauti)
 
Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
11,574
2,000
Ipo taarifa ya NGO kuelekezwa kuwasilisha taarifa zao za fedha TAKUKURU ikiwa ni pamoja na wahisani wao.

Hivi ukaguzi wa mahesabu wa taasisi hizi ukavuliwa na Nani? Je, riport zake upelekwa wapi hadi wanatiliwa mashaka na vyanzo vyao vya fedha?Tutegemee nn baada ya ukaguzi wa taasisi hizo unaotegemea kufanywa na TAKUKURU?
Hapa naona mwendo wa kufukuza ma donor na wawekezaji huu ubabe mavi ulimponza mugabe na degree zake 7
 
Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
11,574
2,000
Kwanini Watanzania tunaamini sana kwenye kuibiwa? Kila Jambo kwetu tunaliona kwa upande wa wizi tu hadi tumelemaa, hatuwazi ajira, elimu na misaada kwa jamii bali tunawaza wizi tu.
Kuna taasisi imewahi kuweka viwango flani vya mishahara kwa watu wake Mara majungu yakaanza kwamba wanalipana fedha nyingi, kilichofuata wabongo wakashushiwa mishahara lakini raia wa kigeni wakaendelea kulipwa tena na nyongeza juu. Kwa upuuzi wabongo waliopeleka majungu wakawa wanashangilia bila kuhoji wamenufaikaje na punguzo la mishahara?haya ndiyo mawazo yetu kila siku wizi wizi wizi utadhani tunatoa sisi hizo fedha.

Ningetamani TAKUKURU waweke na mikakati ya kuongeza wahisani kwenye taasisi hizi kupunguza tatizo la ajira na kupunguza umaskini na magonjwa.watoe elimu na kuwafichua wabadhirifu kwa Nia ya kusonga mbele siyo kuzifuta NGOs
kazi ipo kwenye utawala huu
 
Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
1,066
2,000
Asante JPM HILI jipu Ni la muda mrefu.wapiga deal hawatabaki salama.serikali ipo sawa kusimamia dhumuni la fedha zinazotolewa.humuhumu vi NGO'S uchwara vitatupiliwa mbali.maana nchi hii ilishaoza mjini mpaka vijijini.inyoke tu
CCM mbele kwa mbele mpaka wakati usio na kipimo.sisi TUNAELEWA tulipotoka na tunapokwenda HAKUNA namna MAGUFULI anatosha sana .ana akili ,ana uchungu na nchi
huna akili wewe,Nchi inawashinda sasa hivi mnaingilia NGOs ..black skin is the rejected colour for sure
 
Ninaweza

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
10,839
2,000
Ipo taarifa ya NGO kuelekezwa kuwasilisha taarifa zao za fedha TAKUKURU ikiwa ni pamoja na wahisani wao.

Hivi ukaguzi wa mahesabu wa taasisi hizi ukavuliwa na Nani? Je, riport zake upelekwa wapi hadi wanatiliwa mashaka na vyanzo vyao vya fedha?Tutegemee nn baada ya ukaguzi wa taasisi hizo unaotegemea kufanywa na TAKUKURU?
A) kuna watu wanawindwa.
B) vinatafutwa vyanzo vipya vya mapato
C) A & B
 
singojr

JF-Expert Member
Oct 28, 2014
4,399
2,000
Hapa wakuu tuache ushabiki,Magufuli yupo sahihi.NGOS nyingi za kipigaji tuu wala hawapo kusaidia wananchi.
Kama tutakumbuka sakata la UAMSHO Kyle Zanzibar walijifanya wanaeneza dini kumbe sana ajenda za kigaidi za kushirikiana BOKO HARAM(kwa mujibu wa ripoti ya Scotland Yard)

Mbona point A na B hazishabihiani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom