Bright Smart
JF-Expert Member
- May 4, 2011
- 643
- 312
Wakuu hivi hizi NGOs za kutoka mataifa ya ulaya na marekani zina mchango gani na manufaa gani kwa Taifa letu, naomba mawazo yenu.
Asante mkuu, ningependa kujua kwanini wanafanya hivyo!!Nenda kwnye zahanati, vituo vya afya na hospitali ndy utajua hawa jamaa wanafanya nini. Achilia mbali vifaa tiba, na dawa mpaka fanicha utakuta zimetolewa na USAID,HJFMRI-WRP) CDC and the like. Hilo ni eneo la afya tu achilia mbali sekta zingine.
Kwa nini wanafanya hivyo ndiyo inaweza kuwa sehemu ya mjadala.
Kama ule msaada uliotolewa na marekani wa dola 800 million walitupatia ili wao wapate faida gani in return!!?Sema walau moja tukudadavulie
umeme vijijiniWakuu hivi hizi NGOs za kutoka mataifa ya ulaya na marekani zina mchango gani na manufaa gani kwa Taifa letu, naomba mawazo yenu.
Kama huna la kuchangia kaa pembeni, ndo umeandika upuuzi gani huu!! au na wewe unataka uonekani umo levet na Sumbuwanga ndo nini!!!? wewe ndo wale kina ShiloleMbona unauliza maswali kama ****** au una levet gani ya elimu mpaka usijue nini kazi za donor agency kwa Tanzania. we umezaliwa lini. uliza bararabara ya Tunduma To Sumbuwanga pesa zimetoka wapi
Huna lolote unachojua kujua kuhusu kazi za NGO, na nimekupatia kabisa, rudi shule ukajifunzeKama huna la kuchangia kaa pembeni, ndo umeandika upuuzi gani huu!! au na wewe unataka uonekani umo levet na Sumbuwanga ndo nini!!!? wewe ndo wale kina Shilole
Kila..za katika ubora wakoHuna lolote unachojua kujua kuhusu kazi za NGO, na nimekupatia kabisa, rudi shule ukajifunze
NGO Mara nyingi ni non profit organization,lakini watoaji huwa wanafaidika na vitu fulani fulani ambavyo atuwezi kuviongea hapa.Kama ule msaada uliotolewa na marekani wa dola 800 million walitupatia ili wao wapate faida gani in return!!?