NGOs za mataifa ya Ulaya na Marekani

Bright Smart

JF-Expert Member
May 4, 2011
644
311
Wakuu hivi hizi NGOs za kutoka mataifa ya ulaya na marekani zina mchango gani na manufaa gani kwa Taifa letu, naomba mawazo yenu.
 
Sema misaada tunayopewa na wafadhili ina faida gani, hapo utapata majibu mazuri zaidi
 
Nenda kwnye zahanati, vituo vya afya na hospitali ndy utajua hawa jamaa wanafanya nini. Achilia mbali vifaa tiba, na dawa mpaka fanicha utakuta zimetolewa na USAID,HJFMRI-WRP) CDC and the like. Hilo ni eneo la afya tu achilia mbali sekta zingine.
Kwa nini wanafanya hivyo ndiyo inaweza kuwa sehemu ya mjadala.
 
Asante mkuu, ningependa kujua kwanini wanafanya hivyo!!
 
Mbona unauliza maswali kama kilaza au una levet gani ya elimu mpaka usijue nini kazi za donor agency kwa Tanzania. we umezaliwa lini. uliza bararabara ya Tunduma To Sumbuwanga pesa zimetoka wapi
 
Mbona unauliza maswali kama ****** au una levet gani ya elimu mpaka usijue nini kazi za donor agency kwa Tanzania. we umezaliwa lini. uliza bararabara ya Tunduma To Sumbuwanga pesa zimetoka wapi
Kama huna la kuchangia kaa pembeni, ndo umeandika upuuzi gani huu!! au na wewe unataka uonekani umo levet na Sumbuwanga ndo nini!!!? wewe ndo wale kina Shilole
 
Kama huna la kuchangia kaa pembeni, ndo umeandika upuuzi gani huu!! au na wewe unataka uonekani umo levet na Sumbuwanga ndo nini!!!? wewe ndo wale kina Shilole
Huna lolote unachojua kujua kuhusu kazi za NGO, na nimekupatia kabisa, rudi shule ukajifunze
 
Back
Top Bottom