Ngorongoro ilishachukuliwa kitambo...

Kilicho baki hapa kila mtu ajitetee kivyake, takataka ya ccm ikikutokea mbele yako pambana nayo mwenyewe. Umoja umefeli, sasa ndio nimeanza kuwaelewa wajukuu wa mwamedi kwanini wanafundishwa na sarakasi msikitini.
 
Hakuna picha kidogo kiichotokana na Risasi hapo hata kimoja, Inaonesha ni sime, na ni wao kwa wao. Hizi chuki za kijinga hazisaidii. Serikali iendelee kuhifadhi hiyo mbuga, na naunga mkono KICHAPO KWA HAO WALUGALUGA.
Hakuna mtu mwenye hatimiliki ya ardhi, serikali inataka kufanya jambo kwa manufaa ya umma na tuiache.

Tulilalamika sana wakati nyumba zinabomolewa kule Mbezi enzi za Magu lkn leo tunafurahia barabara nzuri na zenye uhakika.

Well done Serikali, ikiwezekana kichapo kiendane na kubomoa vibanda vyao.
 
Umepost ukiwa wapi yeroo 🙄
 
Ni habari ya kuumiza moyo ila ulivyoandika kumeumiza zaidi, O feel pains[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…