Hehe huyo jamaa Ni maarufu Sana uchagani..
Ila Ni wa kubuni ..Kama ilivyo chununi/ghuwa..
Ngoromiko alibuniwa na baby zetu kuwatia vijana wazururaji usiku adabu.
There is no such A creature..
Nimezurura Sana usiku Mimi na Machalii zangu mixer kulala nje Hiyo kitu hatujawahi onana nayo..
Same applies to vibwengo ...Ni myths tuu ..
Mbuga ya Tenende/Kasala na Katembo yamesumbua sana.
Majuzi nimeenda msibani,ile nakatisha shule ya Tenende kwa mbele kabisa nikaona mwanga,ilikuwa saa saba usiku... Wife akaanza kuogopa.