Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Hatimaye majasusi wahubiri injili,
Kwa
sababu, ukimkiri Yesu
kwa kinywa chako ya kuwa ni
Bwana, na kuamini moyoni
mwako ya kuwa Mungu
alimfufua katika wafu,
utaokoka. Kwa kuwa, kila
atakayeliitia Jina la Bwana
ataokoka. Warumi 10:9, 13.
duu kumbe ndio maana short time kila lorge kweli tutaisha..
tusipoabili tabi kwa vitendo tukaendelea kujidanganya ya kuwa vvu imepungua....................sijui kasi ya kuambukiza tumeithibiti wakati tunajua sote ya kuwa ........the situation is getting worse by the day...................................................njia ya mwongo ni fupi nayo ni mauti................uongo au hadaa ni za muda tu lakini kiama kipo palepale...........................and it is very sad kwa Afrika yote...........
kweli kabisa Ruta hali ni mbaya sana na ukilinganisha na ugumu wa maisha ndio kitu kikubwa ambacho kinaponza watu kibao nenda corner bar sinza hali ni mbaya hela yako tu.
maisha ya magumu na watu wanaotakiwa kuya rahisisha wameshindwa..