Ngono mbaya!

Red-me

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2026
Posts
454
Reaction score
971
Mimi sijawai kuzini na wala sina mchumba na wala sitawahi kuwa nayo.miaka 30 niliyonayo nasema kuwa bado mimi n bikra na nina taka kufa na ubikra wangu. Na sitaki niharibu utakatifu niliyonayo na tamaa ya ngono.narudia kusema ngono mbaya na n balaa katika maisha ya mwanadamu.
 
Wewe ulipatikanaje
 
Utakafu ni nini? Ni utakatifu gani ulionao?
 
Pumbavu kabisa jinga wewe
Yaani mwanaume unajisifia bikra.
Unataka nani akuondolee bikra lako la huko nyuma.
Mnaleta agenda za ushoga kijanja.
Pumbavu once again
vijana kama nyie mnao fanya ngono mmepata faida ipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ