Ngono Magerezani na Ukimwi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngono Magerezani na Ukimwi

Discussion in 'JF Doctor' started by Superman, May 26, 2009.

 1. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Wakuu, Naendelea Kuishikia Bango Maada ya Ukimwi hadi Kieleweke.

  Katika Utafiti wangu wa Kuongea na Askari wa Magereza wamenihakikishia kuwa Ngono kati ya Wanawake kwa Wanawake (Usagaji) ni kitu cha kawaida. Askari wa Kike wakiwakuta wafungwa wanafanya hayo mambo hulazimika kuwapa mkong'oto kwa mjibu wa kazi lakini hawakomi kwa madai kwamba ni hitaji la kibinadamu.

  Vile vile upande wa Wanaume vitendo vya Kishoga vimekuwa ni kama jambo la kawaida kwa baadhi.

  Ni nini hasa kinaendelea na ni nini kifanyike katika magereza ili kijiepesha na janga la Ukimwi?

  Here are some facts:

  About 9.2% of inmates in Tanzania's prisons are HIV-positive, according to a recently released 2008 Human Rights Report compiled by the country's Legal and Human Rights Centre, Guardian/IPP Media reports. LHRC advocate Clarence Kipobota at the release of the report said that the situation in Tanzanian prisons is alarming, adding that there are no systems in place to aid HIV-positive inmates. He said, "There is no information on appropriate health facilities for people living with HIV/AIDS in prisons," adding that there are "no mechanisms designed to facilitate a convicted person's transition back into the society when they are released."


  The report found that as of June 2008, there were 39,951 inmates in the country's prison system -- above the official maximum capacity level by 12,298 inmates. Kipobota said that although the country's Parole Board Act is in place and operational, the act is restrictive and therefore unable to help curb the overcrowding occurring in prisons. Retired Judge Edward Mwesiumo said the report should serve as a working tool to improve human rights in Tanzania (Philemon, Guardian/IPP Media, 4/2.

  Soiurce: http://www.kaisernetwork.org/daily_reports/rep_index.cfm?DR_ID=58252
   
 2. F

  Froida JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2009
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Prison officer should provide condoms for the inmates
   
 3. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kuwapa condom haitasaidia, maana kuna siku watasahau kuwapa au kwa makusudi,
  Kinachotakiwa wapate elimu juu ya ukimwi na wafundishwa madhara ya ushoga na usagaji, na ziwepo sheria za kuzuia vitendo hivyo gerezani.
  Na mwisho hao ni binadamu kama wengine na hilo ni hitaji lao wapewe uhuru wa kufanya wanapijisikia au wapangiwe muda wawekwe free kwa muda wahcnganyikane.
  Hawapewi muda ndo maana wakiupata wanautumia vizuri na condom wanasahau, ukimwi huko kupungua ni ndoto.
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wapewe ofa wake zao au mademu zao na bwana au waume zao wawe wanaenda Gerezani angalau kwa mwezi mala moja wanajipendelea kwa watu kupiga vitu kuliko wanavyo jiexpress wenyewe.
   
 5. Kiteitei

  Kiteitei JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2009
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 1,257
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  kwani huwa wanafungwa pamoja( i mean wanawake na wanaume) otherwise tutakuwa tunahalalisha vitendo vya kishoga magerezani kwa upande wa wanaume, ila kwa wanawake sasa sijui kondom zitawasaidiaje...
   
 6. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  The cause is not congestion but rather overcongestion, as can be seen by the statistics the prisons hold more remandees and prisoners as contempleted. We should ask ourselves why is it so, the reason is so simple lack of reasoning and foresight.

  During the colonial period wazungu walihakikisha kuwa watu wanaokaa gerezani ni wale tu ambao ni tishio kwa jamii, hivyo basi dhamana haikuwa kitu kikubwa sana ni makosa machache yaliyokuwa hayadhaminiki kwa mfano mauaji na uhaini. vifungo vya wakati huo vilikuwa linient sana.

  Adhabu ya miaka mitano wakati huo ilionekana kubwa sana, adhabu zilikuwa mwaka mmoja au miaka miwili, hivyo basi pamoja na remisssion mfungwa alijikuta anatuminkia muda mchache namuda unaobaki baada ya remission anakuwa mfungwa wa nje na kufanya kazi za kijamii, kazi hizo ndizo zilileteleza ujenzi wa barabara, reli, mashule ofisi za serikali nakadhalika.

  Hivi sasa makosa yasiyo na dhamana yameonzeke kamasharti ya dhamana ni magumu na mtu akipatikana na hatia adhabu ni kubwa mno, miaka 15, 30, kifungo cha maisha. Mwisho wa siku ni walipa kodi ndo wanaobeba mzigo wa kuweka watu mahabusu na jela. Kazi za kijamii ( zamani wakiitwa wafungwa wa nje) hakuna kabisa.

  Matokeo yake hakuna material gain ambayo serikali na au jamii inapata kwa kuwaweka watu gerezani zaidi ya kuambukizana magonjwa kama takwimu zinavyoonyesha.

  Zaidi ya hapo hakuna indication yoyote kuwa crime rate inapungua kutokana na adhabu kuwa kali inabidi tuangalie upya penal system yetu.
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  yesu wangu! Kaungame. Mungu akuokoe na mawazo hayo!
   
 8. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2009
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  You are right just giving the condoms without education and awareness campaigns is not the answer.
  Change! change! change!! what we need is change.

  Change in our attitudes
  Change in the prison systems...i would like to see this in this lifetime
  Decongesting the jail systems

  Governments should take the AIDS/HIV campaigns to the very places that they are rampant, in this case Prisons
   
 9. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  These are brilliant ideas Mkuu Nyaralego,
  Starting with the problem of AIDs/HIV awareness, apart from actions done with mutual consent, sexual abuse in prisons is a common phenomenon more so in congested prisons like what is obtained in Tz.A campaign by itself will not yield results in absence of efforts to improve prison conditions including providing for conjugal visits by inmates spouses.This may minimise the problem.

  Decongestation can be addressed if the whole justice system is ready to change in the way they work, more so in the way offenders are punished.Instead of incarcerating a petty thief, why not give community service as a punishment or conditional discharge to a first offender in deserving cases.
   
 10. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2009
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  NATOA Ombi KWA WALE WENYE MAGAZETI WACHAPISHE ARTICLE HII NA PIA VYOMBO HUSIKA VIPELEKEWE NA KUFANYIWA KAZI...!
  NI WAZO LINALOHITAJI KUUNGWA MKONO...!
   
 11. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Dawa kuwalemisha waachana na tabia hiyo pia wapewe nafasi kuonana na wapenzi wao once kwa mwezi....for 1 hour itasaidia sana sana...with time watabadilika......
   
 12. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  My take,
  Problems in prisons (HIV/AIDS) that are being discussed here to some extent have been caused by members of our society (You and me inclusive). Changing in attitudes, Magistrates for instance do not want to utilized non-custodial sanctions instead for them custodial sanctions are their priorities. This has led to what we're blaming here 'the overcrowding in prisons'. In JF we've lawyers, may be they can tell us why many magistrates hastate to impose sentences other than imprisonment. For sure I know, we have other alternatives to impriosnment. for example, there are Community service Act, 6/2002, Extra Mural Penal Employment, Parole Boards Act, 25/1994, Probation of Offenders Act, Cap. 247, Conditional discharge, Suspended sentences, warnings, fines etc etc. These Acts/penalties were created as an alternatives to imprisonment. Unfortunately people (Lawyers, Magistrates, Judges) whom we entrusted to implement it, for their own interests, do not want to use it.

  Ordinary people or victms of crime are not ready to see people who offended them being placed in community based sanctions. their hearts felt relief if the offender sentenced to imprisonment regardles the type of offence committed. Therefore, if is to solve prisons' problems, the whole society should be educated to change their attitudes.

  For the case of HIV/AIDS, Igree with those who proposed to introduce conjugal visit system, this, perhaps will minimized the HIV/AIDS spread among inmates. The use of condoms is another good alternatives,if it will accompanied with intensive education to inmates. ARVs too, should be made available for those inmates who have already contracted the disease. The use of ARVs should go together with the improvement of diet for inmates in order to prevent side effects that might be brought by lack of diet.
   
 13. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Umesema yote Mkuu! Need we say more?
   
 14. Offish

  Offish Senior Member

  #14
  Jun 1, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 172
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kuna haja ya kurudisha utaratibu huu kwani baadhi ya wafungwa wana ujuzi wa kutosha kuweza kuzalisha mali kwa magereza kujitoshelea. Si wamtumie Babu Sea kwenye kumbi za starehe aliingizie jeshi la magereza kipato!!!

  Hatupendi kujiofunza kutoka kwa wachina, kuna taarifa kuwa siri ya makumpuni mengi ya Kichina kushinda tenda kwa bei za chini ni kutokana na kuwatumia wafungwa wenye utaalamu toka katika magereza ya kwao kutekeleza miradi hiyo kwa gharama nafuu. Huo ni mfano wa kuigwa hata kama taarifa hizo sio za kweli...
   
 15. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mkuu; hii imetulia.

  Tuhabarishe zaidi. The Dataz.
   
 16. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  Haki za binadamu je? Iweje kupigania haki za watu wenye UKIMWI NA VVU na hapohapo kuwa tayari kuvunja haki za wafungwa? Haipaswi kuwanyonya wafungwa kwa kuwafanyiza kazi ili kujitajirisha - ndiyo maana nchi nyingin emfungwa akifanya kazi hulipwa ujira unaowekwa hadi atakapomaliza kifungo.Isitoshe China ni notorious kwa ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na hivyo si nchi ya kuigwa kwa hili.
  Kumbuka kuna watu hutajirika kwa kuua au kuuza madawa ya kulevya.Je huu nao ni mfano wa kuigwa?
   
Loading...