Ngono bila kondomu ina utamu wake ati

Ngono bila kondomu ina utamu wake ati

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,757
jamani kufanya mapenzi bila kondomu yaani kavu kuna utamu wake ukiwa fundi waweza kupiga hata bao 6 ndani ya kipindi kifupi!!!! USHAURI: Kama unataka kupata UTELEZI wa UKWELI tembelea ANGAZA wewe na mpenzi wako kasha anza kutyeleza kwa mwenzio ati! Asanteni
 
naam kupiga show wizauti condom safi sana.
Full utelezi
full kujiachia
Japokuwa unambeep Ziraili, hakawii kukupigia.
 
jamani kufanya mapenzi bila kondomu yaani kavu kuna utamu wake ukiwa fundi waweza kupiga hata bao 6 ndani ya kipindi kifupi!!!! USHAURI: Kama unataka kupata UTELEZI wa UKWELI tembelea ANGAZA wewe na mpenzi wako kasha anza kutyeleza kwa mwenzio ati! Asanteni

hapo lengo kuu ni kuvunja amri ya sita kwa usalama zaidi.....

virusi vya UKIMWI vina tabia ya kujificha sana kama ulikuwa hujui..

usijiaminishe sana kwa kipimo kimoja.. kuna watu walishapima sehemu A wakakuta hawana! kwenda B wakakutwa positive

so wewe na mpenzi wako msije mkapimwa mara moja na kujipa credit kuwa mko salama!!!!

HIV/UKIMWI ni zaidi ya tuujuavyo!
 
jamani kufanya mapenzi bila kondomu yaani kavu kuna utamu wake ukiwa fundi waweza kupiga hata bao 6 ndani ya kipindi kifupi!!!! USHAURI: Kama unataka kupata UTELEZI wa UKWELI tembelea ANGAZA wewe na mpenzi wako kasha anza kutyeleza kwa mwenzio ati! Asanteni

Wataalam wanatanabaisha pia kwamba pale shahawa zimwingiapo mwanamama kwake zina faida lukuki kiafya...
 
Hata ndizi huwezi kuila pamoja na ganda lakee lina ukakasiii bana
 
Vidudu vingekua vinaisha vikitumiwa kuna watu wangebaki na size ya kipele.
 
Inakua tam kama pia k ni tam,nyembamba,tight alaf kav kdogo,lakin k ikikosa vitu hvyo hakuna utam bora kutumia mpira kutochafua mashine yako na mimaji.
 
Back
Top Bottom