Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,662
Mara yangu ya kwnaza kumuona ndugu yangu Augustino Moshi akiandika namna hii yaani ni mzalendo mwafrika wa hali ya juu na aliyoandika kwenye reply yake ni sawa kabisa na vile vile hata mimi nimekaa sana Zimbabwe na ninafahamu vizuri sana system inavyofanya kazi na hatua za Mzee RObert MUgabe ni sawa kabisa ,hawa watu kwanini wang'ang'anie ardhi ambayo hawakuilipia hata cent moja?.JK kafanya kitu chaa maana kuonyesha mapenzi yetu kwa ndugu zetu watu wa Zimbabwe na kumbukeni hizo ni nyayo za mzee Kambarage anazozifuata JK ,sio kitu kigeni kwa mtanzania kuwa upande wa mwafrika mwenzake hatukuanza leo wala jana hatua kama hizo ,tuliupigania uhuru na damu ya mtanzania nayo ilimwagika katika nchi hiyo.
UHuru???...kazi ya chama
Willo
Mna kibarua kikubwa sana mwaka huu. CCM mbele kwa mbeleMkuu bado msoga tu
CCM ipo kila kona ya nchi hii. Ni nyi endeleeni kujifariji
Mna kibarua kikubwa sana mwaka huu. CCM mbele kwa mbele
Labda mbele kwa mbele kwenda kufuatilia mgao wa escrow nairobi
Anaogopa kunyang'anywa v8
Hawana ngome,zote zimetekwa