Ndessa kyungai Member Joined May 13, 2022 Posts 7 Reaction score 2 May 13, 2022 #1 habari zenu wadau,karibuni Ng'ombe wa kisasa wenye maziwa na mitamba kwa mawasiliano piga simu namba 0759927746
habari zenu wadau,karibuni Ng'ombe wa kisasa wenye maziwa na mitamba kwa mawasiliano piga simu namba 0759927746
Ndessa kyungai Member Joined May 13, 2022 Posts 7 Reaction score 2 May 13, 2022 Thread starter #2 bei ni kuanzia 1.5m,karibuni
Nyuki Mdogo JF-Expert Member Joined Oct 31, 2021 Posts 4,134 Reaction score 10,704 May 13, 2022 #3 Mkuu sasa wewe uko Kenya huko kaka mega tutawafuatenyeje? Ksh laki 5 ni hela kubwa sana. Hio bei sio ya ng'ombe
Mkuu sasa wewe uko Kenya huko kaka mega tutawafuatenyeje? Ksh laki 5 ni hela kubwa sana. Hio bei sio ya ng'ombe
mtzedi JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 6,182 Reaction score 6,436 May 13, 2022 #4 Mkuu safisha Banda mbona chafu sana. Wasalimie hapo Sing'isi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,468 Reaction score 193,441 May 13, 2022 #5 Ahsante kwa taarifa...