Ng'ombe na mbuzi wa kisasa wanapatikana

Ng'ombe na mbuzi wa kisasa wanapatikana

Joined
Jan 6, 2019
Posts
18
Reaction score
15
Unahitaji ng'ombe au mbuzi wa kisasa?

Habari wanajamii,
Soma kipeperushi kilichoambatanishwa hapa chini,
Wanyama hawa wanapatikana Kenya, ni pure breed,
Bei zinatofautiana kulingana na umri nk, Ng'ombe wa maziwa bei kuanzia mil 2 na kuendelea.

First batch itaingia tz feb 25, 2019,

Itakayofatia itategemea na oda.

Karibu

IMG_20190124_084350.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbuzi bei zake zikoje?
Mbuzi inategemea na aina na umri wake, wale boer bei yale ni dola 550-600 kwa jike na dume dola 700 na kuendelea, kama bajet ndogo angalau ukichukua dume maana ataimarisha vizazi vya kienyeji si mbaya sana..Hawa majike wao huzaa mapacha.

Savanna kuanzia laki tano/sita

Alpine kuanzia laki 4 na kuendelea/inategemea na umri (hawa ni wa maziwa wastahimilivu wa sehemu za joto kama Dar es salaam)

Saanen, toggenburg wote wapo.

Unaweza kuweka na aina zao kwa picha?
 
😎 kulipia kabla hapana,huo utakuwa ni utapeli kwanini msije nao sie wateja tukaja kuwanunua hapo watakapofikia
Biashara hiyo ni ngumu sana, nadhani hayajawahi kukupata, kama huamini hauodi, sisi hatuna mashamba ya kuhifadhi wanyama.Wanyama wanaoletwa lazima wawe wamelipiwa kwanza, Kila biashara ina mipango na mikakati yake, biashara zote hazilingani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara hiyo ni ngumu sana, nadhani hayajawahi kukupata, kama huamini hauodi, sisi hatuna mashamba ya kuhifadhi wanyama.Wanyama wanaoletwa lazima wawe wamelipiwa kwanza, Kila biashara ina mipango na mikakati yake, biashara zote hazilingani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mtu atoe hela zote hizo kwa mtu asiemfahamu , kwa mifugo ambayo hajaiona anaisikia tu na kuiona kwenye kipeperushi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ya kulipia kabla ina maana ninyi ni madalari mnatumia mitaji ya watu wengine kufanya biashara, mtu akilipa likatokea lolote ataclaim wapi pesa yake
 
Mkuu,kwanini usingeanzia hapa Tanzania, Arusha kuna kituo cha serekali cha kuzalisha MITAMBA BORA kinaitwa kuna wafugaji wakubwa kama ASAS ngombe zake alichukua DENMARK,na mpaka leo anaagiza mashahawa kutoka DENMARK,,,Sua kulikuwa kun mradi mkubwa wa mbuzi na wanavijiji waligawiwa mbuzi....Tanzania tunaweza kuwa na Mbuzi na Ngombe wazuri kuliko Kenya...hapa DSM kwenyewe kuna mdau anao pure boer goat,Kalahari Red, Bora ungesema uganda ningekuelewa zaidi

Kuna wenzenu walikuwa wanajifanya wapo Manyara, wakawadanganya watu wanawaletea ngombe South Africa, muda wakukabidhi ulipofika hawakuonekana

Elezeni watu ofisi zenu zipo wapi? onyesheni kibali cha wizara ya mifugo kinachonyesha mnaruhusiwa kuchukua mifugo Kenya,,,huko kenya mnanunua kwa mashamba yapi...hivi ni vitu potentail buyer atapenda sikia

Otherwise baada ya muda watu watarudi hapa na malalamiko
 
Mkuu huyo dalali akirudi kujibu hoja zako naomba unitag,
 
Naomba namba yake
 
Asanteni kwa maoni murua.

Hivi miaka hii bado kuna watu wanatapeliwa kweli?! Nashangaa sana kama mtu mzima ukitapeliwa kwa miaka hii wakati kila kitu kiko wazi. Hulazimishwi kununua tunapotangaza, nunua sehemu unazoridhika nazo wewe mwenyewe ndio ununue sawa wajameni...Kuna mtu tayari hapo juu kaandika sehemu wanakopatikana hapa tz mnaruhusiwa kwenda kununua huko, hapa hatujalazimisha mtu kununua.

Jamani kuoda hulazimishwi, wewe kama unaona kuna utapeli why not kuacha? Tatizo jf kuna wajuaji sana akianani, watu mnaongea sana...ila tumeshazoea na tunajifunza pia,.maana hii ni changamoto na ni fursa pia kwetu,
Narudia tena hulazimishwi kuoda, tuwe madalali, wachunga hizo ng'ombe, wamiliki yote sawa...Msiongee bila kuwa na facts.

Kwa kifupi batch hii ya february tutakuwa na wanunuzi physically ambao watakwenda kuchagua wenyewe na wameshalipa, wachache wapo ambao hawaendi, kwahiyo kama wewe utapenda kujumuika kwenye msafara unakaribishwa pia, Ndio maana nasema uwe na facts kabla hujaongea, watz tupunguze jamani kuongea, tunaongea mno jamani, simu imewekwa why not kupiga na kuuliza maswali then ukiona mtu anapindisha na unaona kuna harufu ya unatapeliwa si unakuja kusema?! tuache kuongea kwa kufikirika.Tutumie hizi platforms vizuri na tusipende kuchafua watu wengine.

Muwe na siku njema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,kwanini usingeanzia hapa Tanzania, Arusha kuna kituo cha serekali cha kuzalisha MITAMBA BORA kinaitwa kuna wafugaji wakubwa kama ASAS ngombe zake alichukua DENMARK,na mpaka leo anaagiza mashahawa kutoka DENMARK,,,Sua kulikuwa kun mradi mkubwa wa mbuzi na wanavijiji waligawiwa mbuzi....Tanzania tunaweza kuwa na Mbuzi na Ngombe wazuri kuliko Kenya...hapa DSM kwenyewe kuna mdau anao pure boer goat,Kalahari Red, Bora ungesema uganda ningekuelewa zaidi

Kuna wenzenu walikuwa wanajifanya wapo Manyara, wakawadanganya watu wanawaletea ngombe South Africa, muda wakukabidhi ulipofika hawakuonekana

Elezeni watu ofisi zenu zipo wapi? onyesheni kibali cha wizara ya mifugo kinachonyesha mnaruhusiwa kuchukua mifugo Kenya,,,huko kenya mnanunua kwa mashamba yapi...hivi ni vitu potentail buyer atapenda sikia

Otherwise baada ya muda watu watarudi hapa na malalamiko
Naomba uwapatie wadau contacts za hayo mashamba wakanunue, biashara huria mtu anachagua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom