ng'ombe mwenye hips

ng'ombe mwenye hips

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,977
Reaction score
37,879
umeshawahi kuona n'gombe mwenyeb hips? Bado! Yani we kila kitu bado. Haya sasa huyu hapo kazi kwako.
 

Attachments

  • n'gombehips.jpg
    n'gombehips.jpg
    24.5 KB · Views: 203
  • hipszang'ombe.jpg
    hipszang'ombe.jpg
    8.3 KB · Views: 381
Haya mambo yakusimamisha kontena juu ya toothpick haya.
 
Huku Tabata Kisukuru kuna mzee ana ng'ombe ni kipofu kabisa, anajiongoza kwa kunusa na kujigonga gonga kwenye vizuizi.
 
Photoshop hiyo.

Mkuu hayo si photoshop hayo ni madhara ya kupandikiza mbegu ya farasi kwa Ngo'mbe na kinyume chake.
Hii kitu kipompaka kwenye mazao(kwa kifupi ni GMO uki-google utapata elimu ya kutosha
 
sasa walipandikiza wakitegemea wapate nini hapo? ndio kitu gani sasa hicho
 
Mkuu hayo si photoshop hayo ni madhara ya kupandikiza mbegu ya farasi kwa Ngo'mbe na kinyume chake.
Hii kitu kipompaka kwenye mazao(kwa kifupi ni GMO uki-google utapata elimu ya kutosha

Ahsante sana mkuu kwa ufafanuzi wako kumbe ni maujanja ya watu mdo yamesababisha ng'ombe kuwa hivyo.
Mi nilijua photoshop maana yamejaa sana.
 
Ninahamu yakuona Mbuzi kapandikizwa mbegu ya Kitimoto! Tafakari utapata test ya aina gani??
 
ng'ombe ana afya tu sema kwu.mma.mayo watu mnawaza ngono tu,
attachment.php
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom