Ng'ombe dume 600 wanauzwa

Jeorpa

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
372
Reaction score
223
Habari,

Napenda kuwatangazia wafanyabiashara wa ng'ombe kuwa kuna ng'ombe 600 wote ni dume wanauzwa, kwa wahitaji karibuni.

Location ni Tanga Mjini chuo cha Buhuri.
Bei ni maelewano.
Tunauza kwa KG in terms of Live weight or Carcas Weight sio bargaining
Mawasiliano ni 0768625199
Karibu sana.

 
Mkuu kama hutojali watafute wanaohusika na taasisi za kiislamu, sikukuu ya kuchinja ipo karibu! Kuna wale waturuki huwa wananunua sana!
 

Mbona una changanya bei maelewano mara umeweka msimamo bei kwa kilo,so hiyo 3500/= kwa kilo niya live weight au ya carcas weight??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…