INAUZWA Ng'ombe bora wa maziwa wanapatikana

Nafikiri hapa muuzaji wa bidhaa ndiyo hayupo serious. Unapotangaza bidhaa weka all details. Mfano, unaposema "Ng'ombe bora wa maziwa" ingefaa utuambie ni breed gani? Wana umri gani? Bei gani kwa kila ng'ombe etc! Siyo utuache hapa bila taarifa na kulazimisha tuwasiliane kwa namba ya simu! Why dont you make it easy kwa potential customers? Na kwa kuwa umeamua kupost picha, basi weka picha yenye maelezo (breed, bei, etc)! Utueleze pia huko Rungwe mnapatikana wapi? Mwakaleli? Katusyo? Kimbira? Ushirika? Bulongwe? Kiwira?.....be specific ndugu. Asante
 
Asante Ndugu tunaweka namba hapa ili potential customers watutafute tuwasiliane na wapate ufafanuzi wote huo maana huwez weka description zote hapa tuna tuna pure breed wenye uwezo mkubwa I think baadhi ya wadau humu tumewauzia ng'ombe
 
Rungwe mbeya
 
Back
Top Bottom