Ng'ombe bora wa maziwa aina ya Holstein freisian, Jersey na Ayrshire wanapatikana

Mimi nipo Arusha nawapataje hao ng'ombe, angalau wawili tu?
Hata kama si mfugaji, nenda kama waelekea USA River , shuka danish uliza NAIC Iko wapi, au Rudi nyuma kidogo kama warudi makumira upande wa kulia utaona majengo ndio office zao ila najua Wana deal Zaid na mbegu za kisasa (NAIC:National Artificial insemination center)
 
Ndugu wadau wafugaji tunatoa huduma ya uuzaji wa ng'ombe wa maziwa wilayani Rungwe mkoani mbeya karibuni kwa ng'ombe aina hizo kwa bei nafuu saana

Tunatoa elimu na ushauri kuhusu ufugaji bora, pia ng'ombe wetu wanastahimili mazingira ya hari ya hewa tofauti ya mikoa yote tanzania
  • Mitamba ( yenye mimba na isio na mimba)
  • Ndama aina zote
  • Wa maziwa mpaka Lita 20 kwa siku
-Madume bora

Tutafute kwa namba 0756416149
Namba hiyo WhatsApp pia.

View attachment 2558377
View attachment 2558376
Natafuta ng'ombe mwenye uwezo wa kutoa Walau litre 50 Kwa siku.
 
Ng'ombe bora wa maziwa
IMG_20231113_121326_742.jpg
IMG-20231105-WA0000.jpg
IMG_20231024_103532_007.jpg
IMG-20231015-WA0009.jpg
IMG_20230430_143839_910.jpg
 
Kwa wadugaji hivi ni lazima mnyama atoke mfupa wa mgongoni? Nimekaa kwenye wafugaji wa ng'ombe wanaochunga na wanaofugia ndani ila kukutana na mnyama kanenepa mifupa haijatokeza ni wachache na hili swala linafanya nashindwa kufikiria kufuga nawaza huenda chakula ji changamoto au malisho yetu hayawapi virutubisho vyote mwenye uelewa aje anifunue macho maana inakatisha tamaa kua na mfugo mifupa imejichora kwenye ngozi.

**Hii haihusiani na mleta mada ila naamini humu watapita wadau wanaofuga wanaweza toa muongozo na mimi nikaelewa wapi watu wanakwama
 
Tafuta kitu inaitwa body condition score utaelewa tofauti ya ngombe wa maziwa na nyama . Asante
 
Back
Top Bottom