Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,026
- 20,511
. Chanzo the citizen tv
Kipindi gani?
Mkuu mbona una mbwembwe sana?title iko kishabiki sana!kiumbe kinachofanana na mtu chaweza kuwa nyani/sokwe,kama ni hivyo sema "ng'ombe kazaa nyani"
mara kwa macho yako,then unasema umeona kwa tv? tushike lipi,afu not ng'ombe as u said ni mbuzi! acha kukurupuka na kupotosha watuHabari niliyo iona kwamacho yangu sikuamini baada ya kushuhudia ng'ombe akiwa amezaa kiumbe chenye maumbile ya binadamu huko kenya. Chanzo the citizen tv