KakaJambazi JF-Expert Member Jun 5, 2009 18,711 12,067 Jul 26, 2012 #5 What if ndo ameshuka kinyumenyume?
Mr. Bigman JF-Expert Member May 7, 2011 2,560 1,299 Jul 26, 2012 #6 Gwangambo said: Ng'ombe achungulia ndani ya bus. Click to expand... Atamani kuingia ndani ya Basi
Joseph JF-Expert Member Aug 3, 2007 3,518 1,086 Jul 26, 2012 #7 Ndallo Ng'ombe kaingia au anataka kuingia?
Kurzweil JF-Expert Member May 25, 2011 6,622 8,397 Jul 27, 2012 #8 Hawa ndo waandishi type ya wa Mr Shigongo.
Z ZeMarcopolo Platinum Member May 11, 2008 14,017 7,220 Jul 27, 2012 #9 Shabiki wa Simba huyo anataka kupanda basi la Chamazi...
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Jul 12, 2012 2,042 599 Jul 27, 2012 #10 au ni konda anasubiria waishe kushuka.
Lukansola JF-Expert Member Sep 5, 2010 5,435 1,597 Jul 27, 2012 #11 KakaJambazi said: What if ndo ameshuka kinyumenyume? Click to expand... Hii inawezekana kabisa maana hakuna nafasi ya kugeuka ndani ya basi.
KakaJambazi said: What if ndo ameshuka kinyumenyume? Click to expand... Hii inawezekana kabisa maana hakuna nafasi ya kugeuka ndani ya basi.
Lukansola JF-Expert Member Sep 5, 2010 5,435 1,597 Jul 27, 2012 #12 huyo ng'ombe anakula nini mjini? soseji au!