truckdriver
JF-Expert Member
- May 7, 2012
- 557
- 257
nimemwona kwenye banda ya NARCO nanenane morogoro
Hawa ng'ombe wanakubali sehemu za joto kama huko Kisarawe?Iyo breed imeingia Kenya miaka ya 2008. Bado aijatapakaa apa Tanzania, nimetembelea Maonyesho ya nane nane apo Morogoro iyo breed aipo na hata wataaramu wote waliopo wa mifugo niliyokutana nao pale nane nane awana kabisa taarifa ya iyo Fleckvieh ng'ombe. Nimemulizia mtaaramu mmoja akaniambia eti Aysha ng'ombe, nikaona wengi bado awajaijua iyo breed, ila Nane nane ya Arusha Lazima atakuwepo, maana kule ni Karibu na Kenya, kwa iyo watu wanaweza wakawa washaipata
mkuu..ulifanikiwa kuagiza hawa ngombe??Mapema Feb nilipandisha ng,ombe wangu kwa Mbegu ya kawaida baada ya kusubiria hii iliyoko juu kutoka kenya, Kampuni inataka iuze mbegu nyingi kwa wakati mmoja sio mmoja mmoja. Vile vile nilijaribu kuulizia huku tz kwa Maofisa wa Animal,s Hearlth zikupata, Kwa hio ni ngumu kupata kwa Mfugaji mmoja.
na mimi pia nachungulia jibuJamani hii breed bdo tu haijafk bongo
Jamaa hawaji tuna mimi pia nachungulia jibu
Kuna jamaa aliniambia wanapatikana suaWakuu kuna hawa Ng'ombe Aina ya Fleckvieh ambao ni Dual- purpose cow yaani wanafaa kwa ajili ya Maziwa na Nyama na wanatoa maziwa Mengi labda kuliko aina yoyote ile ya Ng'ombe.
Nilitaka kujua kama wanapatikana Bongo make hawa Ng'ombe ni kutoka katika highlands za upper Bavarian region nchini Germany na vilevile wanapatikana Switzerland na Austria,
Hawa Ng'ombe wana uwezo mkubwa kabisa wa utoaji maziwa,
UZAO WA KWANZA HUTOA LITA KATI YA 25-30 NA UZAO WA PILI NI KATI YA 30-35 HUKU UZAO WA TATU IKIFIKIA 35-40.
Wanapatikana hao au wanao fanana na hao Kwa Rangi?.Hahahaa nacho sema elewaKuna jamaa aliniambia wanapatikana sua
Mwika ipi hiyo? nazani unazunguzmia Rangi, na ndi mnatepeliwa jwa RangiMwika bible school Kilimanjaro wapo
Hizo mbegu tunapata wapKuwapata sio rahisi ila unaweza pata mbegu zake una cros na Fersian
Tafuta mawasiliano ya National Artificial Insermintation Centre (NAIC), ipo Usa-River, Arusha. Hawa mabwana watakujuza vizuri kuhusiana na Ng'ombe hiyo pamoja na Breeds nyingine nyingine nzuri kulingana na jeografia ya eneo utakalo fugia.Mapema Feb nilipandisha ng,ombe wangu kwa Mbegu ya kawaida baada ya kusubiria hii iliyoko juu kutoka kenya, Kampuni inataka iuze mbegu nyingi kwa wakati mmoja sio mmoja mmoja. Vile vile nilijaribu kuulizia huku tz kwa Maofisa wa Animal,s Hearlth zikupata, Kwa hio ni ngumu kupata kwa Mfugaji mmoja.
Una uhakika?Ndanda mission wapo ni wa kijerumani hao
Mkuu shamba la Jk liko wapi?Tembelea shamba la mheshimiwa Rais JK unaweza kukutana na aina hii ya ng'ombe maana ni mfugaji mzuri.